Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

Who is RAS.....hii habari haikutakiwa kuletwa kipindi hiki cha maombolezo.......
kwa heshima walitakiwa watoe kimya kimya...
atumbuliwe huyu RAS
Atumbuliwe na nani tena Bwashee! 😇Hizo zama za kutumbuana zilishapitwa na wakati. Mtumbuaji anazungushwa tu huko ili kuwathibitishia watu ya kwamba 'ni kweli! amefariki'!!
 
Atatumbuka tu is just a matter of time
Muasisi wa huo mfumo hayupo tena. RAS yuko sahihi. Kama hoja ni hiyo ya kusubiri Maombolezo, basi hata Rais Mpya, asinge apishwa!

Kimsingi hizo picha za Magufuli kwa sasa hazina tofauti na zile za Marais wengine waliopita! Hazina nguvu tena! Najua itawachukua muda kidogo kuamini.
 
Duh!

Kwahiyo asie kuwepo na lake halipo?

Ila, kama mapema sana jamani😭😢
 
Waweke selfie ya magufuli akiwa na samia
 
Picha za magufuli ziendelee kubaki ukutani hadi 2025, make bado utawala ni wa awamu ya tano Sawa?
 
Hivi mnashangaa nini? Ndio sasa Rais ni Samia na ameshaapa! Kwani kuna binadamu gani alifikiri Magu ataishi au kutawala milele? Just know kila regime ina yake na sasa kuna new regime na itakuja na yake. Hakuna jipya ...
 
Agizo hilo linatakiwa liwe la nchi nzima na litekelezwe mara moja kwani wewe unataka picha ya marehemu iendelee kubaki ukutani ya kazi gani?
Huenda Bwana Gwajima akamfufua siku yoyote kuanzia leo, tunataka Gwaji atuoneshe upako wake
 
Habari hii nimeikuta mahali. Kwamba RAS wa mkoa wa Lindi ametoa tamko kwamba picha za Magufuli ziondolewe kwenye ofisi zote za serikali mkoani Lindi.. Mwisho wa enzi unapo fika.

# lesson to catch: every thing under the sun is just temporaly., including wewe unae soma uzi huu. So ukiwa na afya njema na nafasi hakikisha unatumia muda wako kula bata na kufurahi kwa kadri uwezavyo kabla wakati wako haujafika.

Lindi wana nongwa sana!
 
Ukishalibakiza ofisni hiyo picha ya Magufuli, picha ya Samia suluhu hasa utaiweka wapi? Au mnataka tuchafue tu ofisi zetu na mapicha mengine ya ajabu
😂😂😂😂😃
 
Back
Top Bottom