Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

Sidhani km ni kweli,Acheni kumsingizia na kumharibia kibarua chake, mbona ni jana tu ndio pametangazwa official picture ya Mh Raisi wa sasa?ebu tujiulize wakizitoa kabla ya hizo mpya kutengenezwa wataiweka ipi?
 
Yan Hizo Picha za Sizonje zilikua zikitolewa ofisin kwetu Ijumaa siku mbili baada ya msiba nakumbuka jamaa mmoja akasema Bora picha za Asumani Magu Mkoloni mweusi zishushwe ipandishwe bendera ya Uhuru Samia Suluhu,Staff nzima yote ikaangua kicheko kama hamna msiba
 
Tembelea tovuti ya IKULU-Utakuta picha ya Mhe: Samia ndio iko pale.
Tembelea tovuti ya OFISI YA MAKAMU WA RAIS,Utakuta hakuna picha maana yake mpaka apatikane.
Ni mambo ya utaratibu tu wala RAS hajakosea
 
Watu leo wameenda kazini, kesho pia wanaenda, maisha ni lazima yaende..Magufuli kaikuta Tanzania, amekufa ameiacha na lazima isonge
Kwa hiyo nimekwambia watu wasifanye kazi sema bongo sishangai uelewa uliokua nao Mkuu
 
Kwa hiyo nimekwambia watu wasifanye kazi sema bongo sishangai uelewa uliokua nao Mkuu
Sasa si unasema tupo kwenye msiba sijui picha ziachwe Kwanza, wakati Rais keshaapishwa, shughuli kwenye ofisi za umma zinaendelea kama kawaida, sasa kwq nini picha ya mtu ambae sio Rais ndio iwe ofisi za umma?
 
Back
Top Bottom