Pazi na Jogoo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 331
- 496
Atumbuliwe na nani tena Bwashee! πHizo zama za kutumbuana zilishapitwa na wakati. Mtumbuaji anazungushwa tu huko ili kuwathibitishia watu ya kwamba 'ni kweli! amefariki'!!Who is RAS.....hii habari haikutakiwa kuletwa kipindi hiki cha maombolezo.......
kwa heshima walitakiwa watoe kimya kimya...
atumbuliwe huyu RAS
Atatumbuka tu is just a matter of timeAtumbuliwe na nani tena Bwashee! πHizo zama za kutumbuana zilishapitwa na wakati. Mtumbuaji anazungushwa tu huko ili kuwathibitishia watu ya kwamba 'ni kweli! amefariki'!!
Muasisi wa huo mfumo hayupo tena. RAS yuko sahihi. Kama hoja ni hiyo ya kusubiri Maombolezo, basi hata Rais Mpya, asinge apishwa!Atatumbuka tu is just a matter of time
Kwani nchi haina Rais?Ana kihere here huyo RAS......
atumbuliwe tu watu hatujazika bado....
adabu ya wp hii!!!?
Usifsnanishe baba wa Taifa na watu wa ajabu ajabu.mbona za baba wa taifa zipo kwenye kuta au yeye siyo marehemu?
Hii amri haijatolewa na RAS Lindi pekee, kote wameshapiga chini picha za Nduli.Atatumbuka tu is just a matter of time
Huenda Bwana Gwajima akamfufua siku yoyote kuanzia leo, tunataka Gwaji atuoneshe upako wakeAgizo hilo linatakiwa liwe la nchi nzima na litekelezwe mara moja kwani wewe unataka picha ya marehemu iendelee kubaki ukutani ya kazi gani?
basi na huyu akae tu angalao mpaka 2025 kwasabb ni baba mdg πππUlishasema Baba wa taifa
Jibu unalo
Unajua mimi ni nani?Who is RAS? Hii habari haikutakiwa kuletwa kipindi hiki cha maombolezo.
Kwa heshima walitakiwa watoe kimya kimya.
Atumbuliwe huyu RAS
Lindi wana nongwa sana!Habari hii nimeikuta mahali. Kwamba RAS wa mkoa wa Lindi ametoa tamko kwamba picha za Magufuli ziondolewe kwenye ofisi zote za serikali mkoani Lindi.. Mwisho wa enzi unapo fika.
# lesson to catch: every thing under the sun is just temporaly., including wewe unae soma uzi huu. So ukiwa na afya njema na nafasi hakikisha unatumia muda wako kula bata na kufurahi kwa kadri uwezavyo kabla wakati wako haujafika.
πππππUkishalibakiza ofisni hiyo picha ya Magufuli, picha ya Samia suluhu hasa utaiweka wapi? Au mnataka tuchafue tu ofisi zetu na mapicha mengine ya ajabu
Kweni wanaziiba?watoe kimya kimya