It's about time Mmakonde aelewe Insta-story hakuwezi kumpatia solutions, hivi hata Jembe hajui watatue vipi hayo 'matatizo' mpaka dogo anamlilia Seven Mosha kana kwamba team yake hakuna mwenye uwezo wa kutafuta distributors wengine? Vipi kuhusu gharama na consequences za kuvunja mkataba wa distribution na Ziiki?Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki kwenye Sanaa ya bongo , utawatukana unavyojua Ila ukiingia studio unawakumbatia bila kujua ,....
Wakazi kamwaga mashairi na kusema kuwa Diamond ana hisa Zikii , hvyo harmonize mda wote amefanya kazi na diamond mpak sasa...
Wakazi anaandika
View attachment 2535346
View attachment 2535347
Kwenye comment kuna mdau akaenda mbali zaidi kudai Sallam ni mwakilishi wa Apple music East Africa
View attachment 2535348
Ya kweli haya ??
Diamond hawezi kukuzuia kwenda international unazuiaje biashara yako kukua 🤣🤣🤣 ila ukiwa na kelele nyingi anaweza kukucheleweshea malipo upagawe kidogo ukatoe mapovu Instagram 😂😂Ila kiukweli kibongo bongo kwenda international ni ngumu kinoma bila kupita kwa platnumz vita ni kubwa mno
me sijasema anasuzuia nimesema ni ngumu, mean kwamba utawalamba sana miguuDiamond hawezi kukuzuia kwenda international unazuiaje biashara yako kukua 🤣🤣🤣 ila ukiwa na kelele nyingi anaweza kukucheleweshea malipo upagawe kidogo ukatoe mapovu Instagram 😂😂
Familia ya meneja wake jembe ni jembe ni lawyers angekuwa anamaanisha angeanzia hapo. Dogo anapiga yowe la kuchanganyikiwa. Wajanja ambao mitandaoni wanaonekana wajinga wameamua kukaa karibu na Mondi wale nae yeye kachagua vita na bongofleva maana diamond ndio bongofleva kwa sasa. Huwezi shindana na system wakati unapata ugali kupitia hiyo system anawadanganya wajinga na wenye mihemko.It's about time Mmakonde aelewe Insta-story hakuwezi kumpatia solutions, hivi hata Jembe hajui watatue vipi hayo 'matatizo' mpaka dogo anamlilia Seven Mosha kana kwamba team yake hakuna mwenye uwezo wa kutafuta distributors wengine? Vipi kuhusu gharama na consequences za kuvunja mkataba wa distribution na Ziiki?
Surviving and thriving kwenye showbiz industry si kuimba na kuandika lyrics peke yake, kunahitajika a capable management team, maarifa, mbinu, mikakati na busara pamoja na discipline ya kazi.
Kitu ambacho siamini ni kama kweli hana lawyers au kama hana hata contacts au connections za reliable law firms mpaka aombe lawyers kwenye kupitia Insta-story, on that one he is just seeking for stunts.
Wcb hawakwepeki kama chooBaada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki kwenye Sanaa ya bongo , utawatukana unavyojua Ila ukiingia studio unawakumbatia bila kujua ,....
Wakazi kamwaga mashairi na kusema kuwa Diamond ana hisa Zikii , hvyo harmonize mda wote amefanya kazi na diamond mpak sasa...
Wakazi anaandika
View attachment 2535346
View attachment 2535347
Kwenye comment kuna mdau akaenda mbali zaidi kudai Sallam ni mwakilishi wa Apple music East Africa
View attachment 2535348
Ya kweli haya ??
Kadhulumiwa nini?No mara wa ,hata kama hana "royals" ndiyo mumdhurumu haki zake?
Jambo linalonifurahisha,Ila kiukweli kibongo bongo kwenda international ni ngumu kinoma bila kupita kwa platnumz vita ni kubwa mno
Mimi mwenyewe nina mashaka kama sk ni mwakilishi wa apple music.Mondi hana hisa ziiki wala huyo Salam ,Mondi contract anazoingia na Ziiki ni tofauti na wasanii wengine. Jamaa ana akili ya kutafuta hela,Mondi Kenya hela anayolipwa na Safaricom,yy na wasanii wa label yake ni tofauti wanaolipwa wasanii wengine. Jamaa ameingia contract maalum na Safaricom ambayo analipwa % kubwa tofauti na wasanii wengine.
Anaweza kuwa mwakilishi wa Apple ila yy haamui msanii anapata asilimia ngapi. Wasanii wenyewe mikatab wanayoingia hawa washirikishi wanasheria na hii ni kwa wasanii wote wakubwa na wachanga.Mimi mwenyewe nina mashaka kama sk ni mwakilishi wa apple music.
Diamond ana akili likika suala la kuwekeza na biashara.
He is so smart, inahitaji uwe smart pia kufanya biashara naye.
Shida inakuja msanii akiwa hajatoka atasaini chochote anachowaza yeye ni awe famous apate mademu basi.
Naona hii ilikuwa tofauti kwa diamond maana nilisikia interview ya babu tale, kuna siku walipeea contract akamtoroka kumbe kaenda kwa mwana sheria amweleze kilichomo. Babu tale akawa anahisi dogo anataka ale peke yake.
Kama Sallam Sk kajishikiza pia Appel ina mana kuna pesa ya apple anakula , na kama mond atakuwa mwanahisa pia ina mana kuna sent anakula hii ndo inamuumiza Mmakonde , wenzake wanakula hela yake kisheria tatizo huenda hajui kama wanakula kisheria , yeye anahs wapo kama yeye , akiona majina Yao kwenye platform anaona kama kuna ujanja unafanyika ...jamaa anawachukia WCB mpak basiAnaweza kuwa mwakilishi wa Apple ila yy haamui msanii anapata asilimia ngapi. Wasanii wenyewe mikatab wanayoingia hawa washirikishi wanasheria na hii ni kwa wasanii wote wakubwa na wachanga.
Contract ndio kila kitu ukiwa vizuri kwenye mikataba utafaidi kipaji chako.Kama Sallam Sk kajishikiza pia Appel ina mana kuna pesa ya apple anakula , na kama mond atakuwa mwanahisa pia ina mana kuna sent anakula hii ndo inamuumiza Mmakonde , wenzake wanakula hela yake kisheria tatizo huenda hajui kama wanakula kisheria , yeye anahs wapo kama yeye , akiona majina Yao kwenye platform anaona kama kuna ujanja unafanyika ...jamaa anawachukia WCB mpak basi