Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani.
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki kwenye Sanaa ya bongo , utawatukana unavyojua Ila ukiingia studio unawakumbatia bila kujua.
Wakazi kamwaga mashairi na kusema kuwa Diamond ana hisa Zikii, hvyo harmonize mda wote amefanya kazi na diamond mpak sasa.
Wakazi anaandika.
View attachment 2535346
View attachment 2535347
Kwenye comment kuna mdau akaenda mbali zaidi kudai Sallam ni mwakilishi wa Apple music East Africa
View attachment 2535348
Ya kweli haya ??