Ni kweli Sallam SK ni mwakilishi wa Apple music East Africa na Diamond ana hisa Zikiii?

Mendez kuwa muwakilishi wa Apple music inawezekana sana kwani hizi platforms ni kawaida kuwa na representatives kwenye nchi au zones, hii issue ya Diamond kuwa na shares Ziiki ndiyo imenifikirisha lakini kwa jinsi alivyo mjanja na anavyoijua thamani ya brand yake inawezekana walivyomfuata wafanye naye kazi akakataa kulipwa akadai apatiwe percentages za shares.
 
Chawa kama chawa. Mke kama mke. Huwezi kustop watu kudai haki zao umesikia mama
 
Si amesema wazi kabisa mnampiga royalties/mirabaha yake? Hamjawahi kumlipa kabisa ,mwambie boss wako amlipe konde stahiki zake.
Kusema anaweza hata kuwa anasema uongo, kama ni kweli anapigwa royalties(of which I doubt) kitu gani kinamzuia kuwashitaki mahakamani au kuripoti huo wizi(dhulma) kwa vyombo vya sheria ili wezi wachukuliwe hatua naye apate/alipwe stahiki zake?
He is a stunts seeker.
 

Si ndiyo anatafuta msaada kwa wanasheria na N/W Mwana FA.
 
Kama ni kweli mond ana share ziiki basi dogo ana akili sana. Heshima kwake amekuja kuwapa elimu wasanii wa kizazi hiki jinsi ya kutumia brand uliyonayo
Mondi ana akili sana na anajitambua, brand yake anaijua thamani pia haridhiki wala kubweteka kwani hapa alipo ingekuwa artists wengine wa Kibongo either wangeshapotelea kwenye 'unga' au wangekuwa wanajisikia wasingekuwa wakiongea na artists wenzao(ref:Maongezi ya Master J kuhusu tabia za Kiba back then when he was shining).
Kufanikiwa pia kumemsababishia haters wengi, wajuba wamehangaika na masomo lakini wanapigwa na maisha hivyo hasira zao huzihamishia kwa watu ambao wanafanikiwa kupia talents zao. Sasa hivi hata mtu anayesifu mafanikio ya Diamond kuna watu wanamchukia kwani wanatamani kila mtu amchukie, Diamond ni mfano halisi wa from grass to grace.
NB:Si kila mtu lazima awe happy kuona a dude from a very humble background akifanikiwa lakini kuwa na hasira naye kwakuwa amefanikiwa it's ridiculous.
 
Shule murua
 
Si ndiyo anatafuta msaada kwa wanasheria na N/W Mwana FA.
Wanasheria anawatafutia Insta-story? All those three years halipwi kitu management yake hapa namlenga sana Jembe kwani ameenda shule na inaosemekana familia yao kuna lawyers wa kutosha tu.
Konde gang hawana lawyer/lawyers? Hawana contacts zozote za reliable law firms? Mwana FA(Naibu Waziri) hana uwezo wa kuingilia mikataba kwani hayuko juu ya sheria.
 
Mmakonde anajua kuhonga pisi ila hataki kulipa lawyers kupitia mikataba na kufungua kesi if there are any discrepancies? Hapo anajua hamna kesi ya kujibu ndo maana anatafuta public sympathy, boya sana.
 
Mjinga sana yule dogo
 
Bwana Mondi huu muda wa kujibu comments unapata wapi
 
Wewe umekurupuka lazima ujue key points za malalamiko ya wasanii kwenda kwa clouds kwanza kabla ujajenga hoja, clouds ilikuwa ina tumia nguvu yao ya media kukuharibu yaani wanakupa contract yao ukiikataa wanaban nyimbo zisisike kabisa redioni lini umeona WCB wanamlazimisha mtu kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…