RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Samatta anatoka na Lulu !!!!!?? Wanatoka wapi na wanaelekea wapi ........ ??wakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
Hayakuhusu fata yako mkuu!wakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
wanatoka Dar wanaenda DarSamatta anatoka na Lulu !!!!!?? Wanatoka wapi na wanaelekea wapi ........ ??
Mengine yote sihofii hofu yangu mimi asije akafa ghafla tu!!!
sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app