RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Wakuu kuna habari kuwa nahodha wa Taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizabeth Michel, Lulu. Habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na Lulu hapa Tegeta.
Je ni kweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi.
Eti wakuu ni kweli wapo wote?
Je ni kweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi.
Eti wakuu ni kweli wapo wote?