Makandila9090
Senior Member
- Aug 16, 2016
- 161
- 190
Wanatafuta kiki tu kupitia mgongo wa Samatta,Samatta anajielewa hawezi kufanya hivyowakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
C usome taratibu kwanwakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
Bongo lulu wapo Wengi: -
1.Lulu Michael Elizabeth
2.Amber Lulu
3.Lulu Diva.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samata asubirie kuliona korokoroSo majay kashaachwa ila lulu sijui ana nini vidume wake waga wanakufaga asee. R.I.P KANUMBA and Komba
Si bora aache tu jamani samatta bado mdogo lulu kakubuhu.Samata asubirie kuliona korokoro
Maana hata majizo aliliona
[Color= yellow]Triple A[/color]
keshasema wa bongo muvi lkn...... ..... cjui utaulza tena bongo muvi ipBongo lulu wapo Wengi: -
1.Lulu Michael Elizabeth
2.Amber Lulu
3.Lulu Diva.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na pesa hakunaSi bora aache tu jamani samatta bado mdogo lulu kakubuhu.
Personal lifewakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote