Ni kweli Samatta anatoka na Lulu?

Ni kweli Samatta anatoka na Lulu?

wakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
Wanatafuta kiki tu kupitia mgongo wa Samatta,Samatta anajielewa hawezi kufanya hivyo
 
So majay kashaachwa ila lulu sijui ana nini vidume wake waga wanakufaga asee. R.I.P KANUMBA and Komba
 
wakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
C usome taratibu kwan
Unakimbilia wap au unafkuzwa
Bongo lulu wapo Wengi: -
1.Lulu Michael Elizabeth
2.Amber Lulu
3.Lulu Diva.

Sent using Jamii Forums mobile app

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Nlifkir n kidot ndyo anatoka nae yan ngeenda kumshushia
Busha la kike

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
So majay kashaachwa ila lulu sijui ana nini vidume wake waga wanakufaga asee. R.I.P KANUMBA and Komba
Samata asubirie kuliona korokoro
Maana hata majizo aliliona

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Je na sisi wa Katavi tunaruhusiwa kuchangia mada? Au ni Daslam tu?
 
Si bora aache tu jamani samatta bado mdogo lulu kakubuhu.
Ukiwa na pesa hakuna
Kukubuhu wala udogo
Kinachoangaliwa hapo n kwamba utamu uko wap

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
wakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
Personal life

May Allah bless Me and You
 
Namkubali Lulu kwa wowowo lake safi sana Samatta kwa kuwa na jicho pevu.
 
Lulu kaokoka jamani

Rubiikimimi[emoji85]
 
Back
Top Bottom