technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hivi ni kweli Samia anaagiza kuku na mayai ya kula Marekani Tena na fly Emirates?
Hiki ni Nini wakuu ?? Yaani Tanzania hakuna kuku mayai mpaka yatoke Marekani?
Soma Pia: Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
Ikulu njooni mkanushe hizi taarifa zinalichafua Taifa !!