Ni kweli Simba ina thamani ya bilioni 20?

Watu wengine wampigwa ngumi ya uso, hawana jipya.
MO endeleza chama letu, achana na waganga njaa hao. Kila siku wapo na simba bado iko vile vile. Wachovu wa fikra na uchumi.
 
Bila kujali mnunuzi ni MO au mtu yeyote mwenye pesa na anayependa Simba, ni ukweli ulio dhahiri kuwa mpira wa Tanzania unahitaji mageuzi. Nayo ni kuufanya uwe wa kibiashara. Simba inahitaji kuwa na kampuni itakayoiendesha. Na inahitaji hivi mapema iwezekanavyo
 
Sis simba tunaimani na hans pop tu.... na tunamalengo ya kuacha kucheza mpira ili tujikite katika vikundi vya ushangiliaji
 
Billion 20 unaweza ukaanzisha timu nyingine na ikafanya vizuri kuliko Simba. Kinachofanya iwe hivyo simba ni brand mkuu...ndio maana thaman inafika 20billion
 
Uoga wetu ndo umasikin wetu, yule mtu sio kwamba ananunua club hapana, anachofanya ni kununua hisa kwa hiyo hata mimi na wewe tunaweza kununua hisa pale tuache uoga jamani, kuna siku nilimsikia na kumuona msemaji wa simba akiongelea kuhusu kukodi uwanja wa mazoezi kwa asubuhi tu ni kama 300000+ ina maana kwa siku 600000+ kama nitakuwa na kumbukumbu, sasa kwa mwaka ni kiasi? Timu ina miaka 80 lakini ukiuliza nini kimefanyika cha maana ni zero.
 

Wabongo wachawi tu ndo maana sishangiliagi matimu yao labda ile azam tu
 
NAONA WENYE MIKIA POVU TU KISA KUNA KARUPIA KANATAKA KUPENYEZWA ILI MTU APIGE DILI KWA KISINGIZIO CHA MWANACHAMA KINDAKINDAKI LKN MLISHAJIULIZA KWANIN ALISHINDWA KUIENDELEZA KLABU YA LYON.
 
Mwanafalsalfa, Albert Einstein alishawahi kunena.. "If you can't explain to a six-year-old, you don't understand it yourself".

Sasa kama Mo anashindwa kutuelewesha lengo lake ni nini hasa.. Ina maana hata mwenyewe hajui anachotaka kukifanya.
mh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…