Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Watu wengine wampigwa ngumi ya uso, hawana jipya.Hata hiyo 20 b ni nyingi sana thanani ya timu inapatikana kwa timu kuchukuwa makombe bila kuchukuwa makombe timu haina thani.
Angalia leo hii timu zipi zinathamani ktk bora huko ulaya kwa na zipi hazipa thamani.
Miakaya 70 mpaka thamani timu kama man u ilikuwa haina thamani kwakuwa ilikuwa haichukuwi makombe leo man u ndio timu yenye thamani kubwa.
Acheni mo atengeneze timu ya ushindi na ya kisasa muhim ni mikataba imara na mizuri tu kwa maslahi ya klabu.
Hii sio dunia tena ya mpira wa kutegemea wachawi na kuhonga.
MO endeleza chama letu, achana na waganga njaa hao. Kila siku wapo na simba bado iko vile vile. Wachovu wa fikra na uchumi.