Ni kweli Simba na Yanga zimefeli kuidhoofisha Azam?

MFUKUZI; mkuu umesahau na ndondo cup, chandimu, chibuku maana hizo ndo saiz yenu...lakin unaikumbuka LIBOLO?

Maneno ya Kanga hayasaidii kufuta statistics au takwimu..

Ndiyo maana sijapinga YANGA kuchukua kombe la ligi mara nyingi..
Lakini ni ukweli pia Simba ndiyo yenye mafanikizo zaidi linapkuja suala la mafanikio ya jumla.

Ndiyo bingwa wa kihistoria wa CECAFA,

Mnacheza na waarabu kesho kutwa hiyo michuano Simba ilishacheza fainali achilia mbali kuzitoa timu za waarabu mara nyingi tu hata hao mnaocheza nao walishakaa kwa mnyama.

Kufika robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika,

Bingwa wa kihistoria kombe la mapinduzi

Bingwa wa kihistoria kombe la hedex/nyerere cup

Bingwa wa kihistoria mtani jembe

Bingwa wa Kombe la ABC bank.

Usiwe na ushabiki kama wa Steve 'Huu ni Uzalendo'. Siku zote mpira unaongelewa kwa statistics.. hizo unazoleta ni porojo tu.
 

Mwenye macho haambiwi 'tazama'.
 

Attachments

  • Germany National Flag.png
    683 bytes · Views: 76
  • Germany Jersey.jpg
    10.4 KB · Views: 77
  • Netherlands Kingdom Flag.png
    1,010 bytes · Views: 75
  • Netherlands Team Jersey.png
    22.1 KB · Views: 78

kaka suala la mkataba wa kupeana wachezaj azam na simba lipo wazi.yote kwa yote mm dua yangu simba wasipate nafasi ya pili.inatakiwa akina manyikajr wasipande ndege halaf wanyooshe maelezo km raheem sterling...
 
kaka suala la mkataba wa kupeana wachezaj azam na simba lipo wazi.yote kwa yote mm dua yangu simba wasipate nafasi ya pili.inatakiwa akina manyikajr wasipande ndege halaf wanyooshe maelezo km raheem sterling...


Yanga kweli vichwa maji,nyie mnawaza kupanda ndege tu badala ya kuchukua kombe,ndege hata Bukoba zinaenda itakuwa nyie kwenda kwa waarabu na ndege,mnachekelea kimbwigambwiga utafikiri watoto wa vijijini wasiojua ndege,waarabu lazima wawapige mbele na nyuma,wehu nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…