MFUKUZI
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 933
- 700
MFUKUZI; mkuu umesahau na ndondo cup, chandimu, chibuku maana hizo ndo saiz yenu...lakin unaikumbuka LIBOLO?
Maneno ya Kanga hayasaidii kufuta statistics au takwimu..
Ndiyo maana sijapinga YANGA kuchukua kombe la ligi mara nyingi..
Lakini ni ukweli pia Simba ndiyo yenye mafanikizo zaidi linapkuja suala la mafanikio ya jumla.
Ndiyo bingwa wa kihistoria wa CECAFA,
Mnacheza na waarabu kesho kutwa hiyo michuano Simba ilishacheza fainali achilia mbali kuzitoa timu za waarabu mara nyingi tu hata hao mnaocheza nao walishakaa kwa mnyama.
Kufika robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika,
Bingwa wa kihistoria kombe la mapinduzi
Bingwa wa kihistoria kombe la hedex/nyerere cup
Bingwa wa kihistoria mtani jembe
Bingwa wa Kombe la ABC bank.
Usiwe na ushabiki kama wa Steve 'Huu ni Uzalendo'. Siku zote mpira unaongelewa kwa statistics.. hizo unazoleta ni porojo tu.