Ni kweli Simba waliovamia Iringa vijijini wamefika maeneo ya karibu na mjini?

Dogo unaangalia sana movie za kihindi mpaka unaanza kujiona na wewe ni Sanjey Datey au Mithun. Muda huo ungeutumia kusoma katiba au mkataba wa DP World si ingekusaidia kuchangia wanapoongelea wenzio?
Mnaendelea kudanganyana tuu bora ujadili Simba mikataba ya Loliondo ilianza si wengine tupo shule za msingi za kubeba vidimu na mfagio hadi leo DP watu waliongea hakuna kitu zaidi zaidi ni kujiweka kwenye kundi hatarishi bora kuua Kingi tuu na kucheza ile michezo ya kula nyumba na kusafiri...
 
Dogo unaangalia sana movie za kihindi mpaka unaanza kujiona na wewe ni Sanjey Datey au Mithun. Muda huo ungeutumia kusoma katiba au mkataba wa DP World si ingekusaidia kuchangia wanapoongelea wenzio?
Siyo simba tu hata zali la kuvamiwa na kushambuliwa na nyuki kila siku naomba na kutamani initokee. Yani nitatembeza mkono balaa.
 
Mikataba ya Loliondo mimi nipo form 4 shule moja inaitwa Sangu huko Mbeya. Baada ya kuwa nimefukuzwa shule moja ya Jeshi hapa Dar.
 
Daaah hayo mavi yake simba dili kiongozi.
 
Google lens wameniingiza cha kike
 
Kina bocco hao si unajua wamepewa "THANKYUU"pale msimbazi sasa itakuwa wanahamia lipuli๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ
 
Tabia za wamasai kule ndutu ngorongoro..
Kufkuza simba na kuwaibia vitoweo vyao..
Kawaulize wamasai wanajua kisasi cha simba kilivyo.
Simba ni mnyama anaeyependa kulipa sana kisasi chochote utachomfanyia atalipiza iwe kwako au kwa mali zako.
Wanaweza kuja kuvamia zizi lako wakaua mifugo hata 50 bila kuwatafuna.JUST KUUA TU ILI UWE NA ADABU! Wakikosa hiyo dingi jua watakuvizia tuu wakuue.
 
Poleni sana mkuu
 
Ha ha ha... Humu tunaweza kuta watu ID zetu zinatambulika. Hilo jina la Isanga Family umewahi kaa Isanga?
Nimeishi Isanga mkuu nimesoma pia Sangu ila Advance uliposema ulifukuzwa shule ya Jeshi daslm nikamkumbuka jamaa mmoja alitokea Makongo sijui Lugalo na alikua anacheza sana futbal ila wacha niishie hapa bhana na I'd zenu hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ