Ni kweli Simba waliovamia Iringa vijijini wamefika maeneo ya karibu na mjini?

Tabia za wamasai kule ndutu ngorongoro..
Kufkuza simba na kuwaibia vitoweo vyao..
Kawaulize wamasai wanajua kisasi cha simba kilivyo.
Simba ni mnyama anaeyependa kulipa sana kisasi chochote utachomfanyia atalipiza iwe kwako au kwa mali zako.
Wanaweza kuja kuvamia zizi lako wakaua mifugo hata 50 bila kuwatafuna.JUST KUUA TU ILI UWE NA ADABU! Wakikosa hiyo dingi jua watakuvizia tuu wakuue.
Hadithi hizo Simba asile kitu anachoua hizi habari za wapi hizi ndio zile za Wamasai wanaua Simba...Simba ana kisasi ila sio cha kuacha kitu alichoua kama kwake ni mlo Simba anaenda na mamba aache mbuzi kisa hasira...
 
Nikiwa katika matembezi yangu hapa Iringa Mjini nimepata kusikia habari za uwepo wa makundi mawili ya Simba wanaosadikika kutafuna mifugo katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya Lupembe lwa senga na vijiji jirani

Kama kuna mtu anaweza kuwa labda kashuhudia au muhanga tunaomba taarifa rasmi tujue maeneo haya ya jirani na mjini ni kweli kuna uwepo wa Simba?

Ikumbukwe ni msimu wa mavuno huu watu tunajinywea komoni zilizoiva vizuri kama tulale saa12 tuambiwe jamani!!!

Naambatanisha picha inayosemekana imepigwa kijijini Lupembe lwa senga baada ya Simba hao kuvamia zizi na hicho kingine inasemekana ni kinyesi Cha Simba

Wajuvi mtatusaidia kutuelewesha.

View attachment 2666345View attachment 2666348

Soma: Iringa: Mbwa Mayele asifika kusaidia kufanikisha doria ya kuwasaka Simba waliovamia vijiji
Paka likinya linafukia.
 
Huo mkoa wapewe DP- World tu
 
Huyo hapo
 
Je hizo alama za miguu ni za simba mla watu?
 
Taarifa hii ina ukweli wakuu, ndo mitaa yangu hii nilikuwa nakula upepo hapa nje ila baada ya kuupata huu ujumbe nimeona upepo hauna maana nimelock na mlango kama ndo usiku vile
8D7D94B6-8B94-454A-BD4F-2688333436D9.jpeg
 
Tunaishauri serikali ikawafuate tiger wa Siberia waje wawape mkon'goto hawa simba wetu, hawana adabu
 
Back
Top Bottom