Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hadithi hizo Simba asile kitu anachoua hizi habari za wapi hizi ndio zile za Wamasai wanaua Simba...Simba ana kisasi ila sio cha kuacha kitu alichoua kama kwake ni mlo Simba anaenda na mamba aache mbuzi kisa hasira...Tabia za wamasai kule ndutu ngorongoro..
Kufkuza simba na kuwaibia vitoweo vyao..
Kawaulize wamasai wanajua kisasi cha simba kilivyo.
Simba ni mnyama anaeyependa kulipa sana kisasi chochote utachomfanyia atalipiza iwe kwako au kwa mali zako.
Wanaweza kuja kuvamia zizi lako wakaua mifugo hata 50 bila kuwatafuna.JUST KUUA TU ILI UWE NA ADABU! Wakikosa hiyo dingi jua watakuvizia tuu wakuue.
Hii sasa Kamba na chaiNdo yanatengeneza chip set za electronics?
Si kama zile kamba zako wewe ukipigwa unastuka...Hii sasa Kamba na chai
Dharau kubwa kabisa Mkuu😂😂😂😂
Paka likinya linafukia.Nikiwa katika matembezi yangu hapa Iringa Mjini nimepata kusikia habari za uwepo wa makundi mawili ya Simba wanaosadikika kutafuna mifugo katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya Lupembe lwa senga na vijiji jirani
Kama kuna mtu anaweza kuwa labda kashuhudia au muhanga tunaomba taarifa rasmi tujue maeneo haya ya jirani na mjini ni kweli kuna uwepo wa Simba?
Ikumbukwe ni msimu wa mavuno huu watu tunajinywea komoni zilizoiva vizuri kama tulale saa12 tuambiwe jamani!!!
Naambatanisha picha inayosemekana imepigwa kijijini Lupembe lwa senga baada ya Simba hao kuvamia zizi na hicho kingine inasemekana ni kinyesi Cha Simba
Wajuvi mtatusaidia kutuelewesha.
View attachment 2666345View attachment 2666348
Soma: Iringa: Mbwa Mayele asifika kusaidia kufanikisha doria ya kuwasaka Simba waliovamia vijiji
Sasa unabisha nini je kama ndio yake majike yanayosemaga "mimi marafiki zangu wote ni wanaume sinaga ushost na wanawake mimi"Hakuna kundi la simba la namna hiyo. Madume 6 jike mmoja!
Kweli simba katisha,kala kashiba akaamua na kimba awaachie hapohapo😂😂😂😂😂duniani vituko haviishiDharau kubwa kabisa Mkuu
POAHakuna kundi la simba la namna hiyo. Madume 6 jike mmoja!
Huo mkoa wapewe DP- World tuNikiwa katika matembezi yangu hapa Iringa Mjini nimepata kusikia habari za uwepo wa makundi mawili ya Simba wanaosadikika kutafuna mifugo katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya Lupembe lwa senga na vijiji jirani
Kama kuna mtu anaweza kuwa labda kashuhudia au muhanga tunaomba taarifa rasmi tujue maeneo haya ya jirani na mjini ni kweli kuna uwepo wa Simba?
Ikumbukwe ni msimu wa mavuno huu watu tunajinywea komoni zilizoiva vizuri kama tulale saa12 tuambiwe jamani!!!
Naambatanisha picha inayosemekana imepigwa kijijini Lupembe lwa senga baada ya Simba hao kuvamia zizi na hicho kingine inasemekana ni kinyesi Cha Simba
Wajuvi mtatusaidia kutuelewesha.
View attachment 2666345View attachment 2666348
Soma: Iringa: Mbwa Mayele asifika kusaidia kufanikisha doria ya kuwasaka Simba waliovamia vijiji
Je hizo alama za miguu ni za simba mla watu?Nikiwa katika matembezi yangu hapa Iringa Mjini nimepata kusikia habari za uwepo wa makundi mawili ya Simba wanaosadikika kutafuna mifugo katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya Lupembe lwa senga na vijiji jirani
Kama kuna mtu anaweza kuwa labda kashuhudia au muhanga tunaomba taarifa rasmi tujue maeneo haya ya jirani na mjini ni kweli kuna uwepo wa Simba?
Ikumbukwe ni msimu wa mavuno huu watu tunajinywea komoni zilizoiva vizuri kama tulale saa12 tuambiwe jamani!!!
Naambatanisha picha inayosemekana imepigwa kijijini Lupembe lwa senga baada ya Simba hao kuvamia zizi na hicho kingine inasemekana ni kinyesi Cha Simba
Wajuvi mtatusaidia kutuelewesha.
View attachment 2666345View attachment 2666348
Soma: Iringa: Mbwa Mayele asifika kusaidia kufanikisha doria ya kuwasaka Simba waliovamia vijiji
Udumuka Gani? Ya mufindi igowole au?Wameonekana pande za udumuka leo asubuhi kwa saa za afrika mashariki
Wapo simba 7 likiwemo jike