Ni kweli Tanga ndipo mapenzi yalipozaliwa au tunapigwa?

Ni kweli Tanga ndipo mapenzi yalipozaliwa au tunapigwa?

Kwenye kuunga maharage nawakubali,huku kwingine ni kawaida tu full goalkeeper...
 
Yaani wa tanga hawa hawa matapeli wa mapenzi ndio wawe walimu wa mapenzi hiki ni kitu kizito sana ingewezekana watuombe radhi ni hadaa kubwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23],aisee sikutegemea kama watu wangewakataa kiasi hiki,maana wanavypoambwa utadhani ukifika Tanga sijui unakutana na mapenzi gani
 
Mkuu naunga mkono hoja kwa [emoji817] wamwera na wamakonde NI balaa...nimepata mwali wa kujua mambo ya kunoga aisee bwana wewe NI hatari.nineamua nioe kbs Huku japo mwanzo nikidhani kwamba nitarudi kaskazini kuoa
Mambo ya unyago..yanafanya mapenzi kunoga bwana wewe..

#MaendeleoHayanaChama
 
...Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha.... mtoa mada hajauliza kama TANGA NDO VIUNO VILIKOZALIWA.... ameuliza TANGA NDO MAPENZI yalikozaliwa? Viuno hata TWANGAPEPETA wanakata...
Ni kweli afadhali umewarudisha kwenye mstari,maana mapenzi ni mjumuiko wa mambo mengi sana
 
ni kweli maana wana vionjo vya hatari.
Ila kwa mama zao wa zamani.
Siku hizi watoto zao hawana Yale Mambo.
Kama ni hivyo yalizaliwa kweli ila naona yameshakufa sasa,hii sifa itafutiwe mkoa mwingine sio huko tena
 
Ni kweli.ila tanga siku hizi mapenzi yamepungua
Mama zao ndo walikuwa kiboko.
Lakini hawa watanga wa kuzaliwa mjini hawawezi.wao kujisifia tu
Hata Zanzibar hawaipati Tanga Kwa aspects
Nyingi tu.

Hata mapishi Tanga wako vizuri zaidi ya Zanzibar
 
Back
Top Bottom