Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
- Thread starter
- #61
Safi mkuu,au umepigwa libwata hujielewi?[emoji3]Mkuu naunga mkono hoja kwa [emoji817] wamwera na wamakonde NI balaa...nimepata mwali wa kujua mambo ya kunoga aisee bwana wewe NI hatari.nineamua nioe kbs Huku japo mwanzo nikidhani kwamba nitarudi kaskazini kuoa