Ni kweli Tanga ndipo mapenzi yalipozaliwa au tunapigwa?

Watu wanaotoka bara ndio wakija huku wanaona mambo mapya hivyo huwapaisha, pia inachochewa na jitihada kubwa inayofanywa na wazawa kuisifia Tanga kama chimbuko la mapenzi ila kiuhalisia hakuna jipya huko.
We umetokea pwani sasa nenda hata wanawake ni watupu hata kupika yamekaa kiharaki tu tambua hilo nimekaa mbeya mjini ,moshi na mwanza wanawake yaani hawako vile romantic wengin hawa mavazi ya majeans hayatupi mvuto tunataka kanga na madera ndo tunawapenda wanawake wa ivyo
 
Hizi stori za miaka ya 80 hadi 99 ambapo watu wengi walikuwa hawasafiri-sasa wale wachache waliobahatika kufika huko au kukutana na watanga waliwalisha watu matangopori.
[emoji3][emoji3] aisee kumbe tunapigwa tu
 
Huku ndio kwenyewe washamba na wapumbavu wivu utawaua ndo wanaponda wanawake wanajielewa kwanza kwa nafasi yao hawana mambo sijui 50/50 kama kenge wa bara
Kwahio huko ndio wanajua mapenzi?vipi ndoa zao zinadumu kuliko huku bara?
 
Tanga iko overrated alafu mtwara Kwa wamakonde iko underrated..Tukirudi nyuma wamakonde walichukuliwa wakapelekwa Tanga kwenda kulima katani(mkonge),na wengi wao hawakurudi tena mtwara.Kuna uwezekano wamakonde ndy waliwafundisha hao wenyeji hayo mambo

Kwenye chakula nawapa yes..wanawake wa Tanga ni mafundi wa mapishi,sijui majorani zao wa pale mlima mrefu wanakwama wapi!! Si wakapige chabo Tanga?

Mleta mada umewahi kwenda mikoa ya kusini Lindi na mtwara? Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha

Ndugu yangu ndege JOHN anajua hbr ya wanawake wa Lindi na mtwara,ngoja aje kutoa ushuhuda..karibu shehe wangu ndege JOHN [emoji28]
Mikoa ya Lindi na Mtwara sijawahi kwenda,kumbe Tanga ni Promo tu ila Hamna kitu, kuna mikoa iko vizuri zaidi[emoji3]
 
Tanga iko overrated alafu mtwara Kwa wamakonde iko underrated..Tukirudi nyuma wamakonde walichukuliwa wakapelekwa Tanga kwenda kulima katani(mkonge),na wengi wao hawakurudi tena mtwara.Kuna uwezekano wamakonde ndy waliwafundisha hao wenyeji hayo mambo

Kwenye chakula nawapa yes..wanawake wa Tanga ni mafundi wa mapishi,sijui majorani zao wa pale mlima mrefu wanakwama wapi!! Si wakapige chabo Tanga?

Mleta mada umewahi kwenda mikoa ya kusini Lindi na mtwara? Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha

Ndugu yangu ndege JOHN anajua hbr ya wanawake wa Lindi na mtwara,ngoja aje kutoa ushuhuda..karibu shehe wangu ndege JOHN [emoji28]
😂
 
Kwahio huko ndio wanajua mapenzi?vipi ndoa zao zinadumu kuliko huku bara?
Ndoa yale yale kama sehemu zote ila unatakiwa kujua kule kuna mchanganyiko wa watu kibao na makabila almost yote yapo sasa ni wewe tu zipo jamii kama waarabu pure,kuna wasomali, wagunya ,agombe agombee hizi baadhi ya jamii zinazotoka nje ya nchi baadhi na wapo Wachagga ,wapemba watumbatu ,wamakonde ,wapare ndo kibao

Wenyeji wasambaa ,wabondei ,wazigua na wadigo
 
Sawa mkuu,ila wadau wanasema ni Tanga iko ovarrated tu katika suala la mapenzi ila ipo mikoa ipo vizuri tu na haitangazwi tangazwi
 
Haiko overrated ni haki yao viwu tu basi hao wamefuat misambwanda na sio jamii ya wanwake wa tanga hao ni wanyakyusa wa mkoani hii kanda ya kaskazini misambwanda hamna sio asili yao🤣🤣🤣
 
Haiko overrated ni haki yao viwu tu basi hao wamefuat misambwanda na sio jamii ya wanwake wa tanga hao ni wanyakyusa wa mkoani hii kanda ya kaskazini misambwanda hamna sio asili yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3]
 
Watu wa Tanga mko wapi aisee,tunaambiwa mapenzi yalizaliwa huko kumbe mmefundishwa na watu wa kusini hata kufuzu hamjafuzu ila kelele tu[emoji28]
 
Back
Top Bottom