Tanga iko overrated alafu mtwara Kwa wamakonde iko underrated..Tukirudi nyuma wamakonde walichukuliwa wakapelekwa Tanga kwenda kulima katani(mkonge),na wengi wao hawakurudi tena mtwara.Kuna uwezekano wamakonde ndy waliwafundisha hao wenyeji hayo mambo
Kwenye chakula nawapa yes..wanawake wa Tanga ni mafundi wa mapishi,sijui majorani zao wa pale mlima mrefu wanakwama wapi!! Si wakapige chabo Tanga?
Mleta mada umewahi kwenda mikoa ya kusini Lindi na mtwara? Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha
Ndugu yangu
ndege JOHN anajua hbr ya wanawake wa Lindi na mtwara,ngoja aje kutoa ushuhuda..karibu shehe wangu
ndege JOHN [emoji28]