madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 324
- 387
Huko Tanga hamna kila kitu [emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli.ila tanga siku hizi mapenzi yamepungua
Mama zao ndo walikuwa kiboko.
Lakini hawa watanga wa kuzaliwa mjini hawawezi.wao kujisifia tu
Asante kwa mchango,ila na kufuga majini nako wapo?yana faida gani sasaNipo Tanga mwaka wa 7 huu.... Ninachoweza kukwambia ni kwamba kila kinachosemwa ni kweli aisee Tanga wako imara kwenye hiyo tasnia. Vinginevyo ni muingiliano wa kijamii na makabila mengine hatimaye asili ya yote inaanza kupotea. Hata ufugaji wa majini n.k vyote washavipoteza baada ya miji yao kuvamiwa na wajaji
Hilo suala la mke kuliwa nje ndio linaharibu kila kitu,hapo hata hayo mapenzi anayoonyesha kwa mume yanakuwa hayana maana tena,.I declare interest, asili yangu ni Tanga though maisha yangu yote nimekuwa Dar es Salaam.
Kule Tanga mzee wangu ana nyumba yake ina wapangaji kadhaa. Nilipomaliza chuo nilipitia kipindi kigumu flani kisaikolojia so nikaenda kule kupumzika kama muda wa mwezi mmoja.
Bwana bwana, wanawake wa Tanga wanajua mapenzi and by this I dont mean masuala ya chumbani maana sikuyashuhudia ila mahaba kwa ujumla yaani submission, huduma, unyenyekevu…Yaani yale mambo wanaume wanapenda hawa wanawake kwao yanakuja naturally. Mwanaume ni priority kwake, mwanaume ni mfalme, tena hawa ni wanaume wa maisha ya kawaida sana wanaendesha tu baiskeli kwenda kazini…
Niseme tu, Tanga wadada wanalelewa kuja kuwa mke tangu wakiwa wadogo.
Kuhusu ndoa za Tanga kutodumu, ni kweli! Na hii haimaanishi hawana hizo sifa hapo juu, ila ukweli ni kwamba wengi wana tatizo la kuliwa nje na wana tamaa. Yaani ukienda Tanga na pesa unakula mke wa mtu kirahisi sana. Na pia kuachika kule sio jambo la aibu kwa sababu mtu kuolewa tena sio ngumu. Yaani bandika bandua.
Hilo suala la mke kuliwa nje ndio linaharibu kila kitu,hapo hata hayo mapenzi anayoonyesha kwa mume yanakuwa hayana maana tena,.
Yaani unionyeshe mahaba feki halafu bado ukaliwe nje,ndio maana kuna mtu hapo juu kasema kule wana tabia ya umalaya.
Asante kwa muongozo kumbe upo na experience na haya masuala.Lisemwalo lipo, wengi wa kutokea mombasa pande zile...
Ila wadigo haki wanazo hayo mambo...
Sikupingi...I declare interest, asili yangu ni Tanga though maisha yangu yote nimekuwa Dar es Salaam.
Kule Tanga mzee wangu ana nyumba yake ina wapangaji kadhaa. Nilipomaliza chuo nilipitia kipindi kigumu flani kisaikolojia so nikaenda kule kupumzika kama muda wa mwezi mmoja.
Bwana bwana, wanawake wa Tanga wanajua mapenzi and by this I dont mean masuala ya chumbani maana sikuyashuhudia ila mahaba kwa ujumla yaani submission, huduma, unyenyekevu…Yaani yale mambo wanaume wanapenda hawa wanawake kwao yanakuja naturally. Mwanaume ni priority kwake, mwanaume ni mfalme, tena hawa ni wanaume wa maisha ya kawaida sana wanaendesha tu baiskeli kwenda kazini…
Niseme tu, Tanga wadada wanalelewa kuja kuwa mke tangu wakiwa wadogo.
Kuhusu ndoa za Tanga kutodumu, ni kweli! Na hii haimaanishi hawana hizo sifa hapo juu, ila ukweli ni kwamba wengi wana tatizo la kuliwa nje na wana tamaa. Yaani ukienda Tanga na pesa unakula mke wa mtu kirahisi sana. Na pia kuachika kule sio jambo la aibu kwa sababu mtu kuolewa tena sio ngumu. Yaani bandika bandua.
I declare interest, asili yangu ni Tanga though maisha yangu yote nimekuwa Dar es Salaam.

Mtwara nilikutana na mrembo mmoja baada ya kazi nzito usingizi ukampeleka nilikuja kushituka nalowana kumbe kikojozi daa nilikasirika sana na hamu ikakataTanga iko overrated alafu mtwara Kwa wamakonde iko underrated..Tukirudi nyuma wamakonde walichukuliwa wakapelekwa Tanga kwenda kulima katani(mkonge),na wengi wao hawakurudi tena mtwara.Kuna uwezekano wamakonde ndy waliwafundisha hao wenyeji hayo mambo
Kwenye chakula nawapa yes..wanawake wa Tanga ni mafundi wa mapishi,sijui majirani zao wa pale mlima mrefu wanakwama wapi!! Si wakapige chabo Tanga?
Mleta mada umewahi kwenda mikoa ya kusini Lindi na mtwara? Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha
Ndugu yangu ndege JOHN anajua hbr ya wanawake wa Lindi na mtwara,ngoja aje kutoa ushuhuda..karibu shehe wangu ndege JOHN [emoji28]
Basi hawafai kuoa kama ni hivyo,maana utakuwa unafuga visivyofugikaSio kwamba hayo mahaba ni feki, ni ya kweli ila ni tamaa tu na sometimes ujinga unawapeleka puta.
Hlf Tanga ni mji una mambo ya utani sana, so kiutaniutani mdada anaweza kuliwa.
Tanga Kuna makabila mengi...Asante kwa muongozo kumbe upo na experience na haya masuala.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji28][emoji28],Kwahio kumbe tunapigwa mchana kweupe,vipi ulikuwa uanwekewa maji yenye manukato?
Lakini inasemekana sio watulivu kwenye ndoa,yaani uaminifu sifuriTanga ndio mkoa ambao wanawake wanatabia nzuri za wastani ambazo wanaume huzipenda.
Matharani:
Adabu
Usafi wa mwili na mazingira
Kupika vizuri
Ukarimu kwa ndugu na majirani na watu baki
Mahaba kama yote
Nidhamu
Wanajua kumstahi Mwanaume
Wanaelewa lugha ya kuluzu
Wanajua kumsikiliza Mwanaume
Wanajua kumsikia Mwanaume akisema jambo
Wanajua kustahamili mambo
Wanajua kusubiri
Ukienda kwa hao wanawake wengine utapata kimoja au viwili katika hivyo lakini vingi hawana utavikuta Kwa wanawake wenye asili ya Tanga tu [emoji108][emoji108]