Ni kweli Tanga ndipo mapenzi yalipozaliwa au tunapigwa?

Ni kweli.ila tanga siku hizi mapenzi yamepungua
Mama zao ndo walikuwa kiboko.
Lakini hawa watanga wa kuzaliwa mjini hawawezi.wao kujisifia tu

Mwana Msana asiposana hufukuta [emoji108][emoji108]

Kwa hiyo haiwezi kuwa haba kiivyo!
 
Nipo Tanga mwaka wa 7 huu.... Ninachoweza kukwambia ni kwamba kila kinachosemwa ni kweli aisee Tanga wako imara kwenye hiyo tasnia. Vinginevyo ni muingiliano wa kijamii na makabila mengine hatimaye asili ya yote inaanza kupotea. Hata ufugaji wa majini n.k vyote washavipoteza baada ya miji yao kuvamiwa na wajaji
 
Asante kwa mchango,ila na kufuga majini nako wapo?yana faida gani sasa
 
I declare interest, asili yangu ni Tanga though maisha yangu yote nimekuwa Dar es Salaam.

Kule Tanga mzee wangu ana nyumba yake ina wapangaji kadhaa. Nilipomaliza chuo nilipitia kipindi kigumu flani kisaikolojia so nikaenda kule kupumzika kama muda wa mwezi mmoja.

Bwana bwana, wanawake wa Tanga wanajua mapenzi and by this I dont mean masuala ya chumbani maana sikuyashuhudia ila mahaba kwa ujumla yaani submission, huduma, unyenyekevu…Yaani yale mambo wanaume wanapenda hawa wanawake kwao yanakuja naturally. Mwanaume ni priority kwake, mwanaume ni mfalme, tena hawa ni wanaume wa maisha ya kawaida sana wanaendesha tu baiskeli kwenda kazini…

Niseme tu, Tanga wadada wanalelewa kuja kuwa mke tangu wakiwa wadogo.

Kuhusu ndoa za Tanga kutodumu, ni kweli! Na hii haimaanishi hawana hizo sifa hapo juu, ila ukweli ni kwamba wengi wana tatizo la kuliwa nje na wana tamaa. Yaani ukienda Tanga na pesa unakula mke wa mtu kirahisi sana. Na pia kuachika kule sio jambo la aibu kwa sababu mtu kuolewa tena sio ngumu. Yaani bandika bandua.
 
Hilo suala la mke kuliwa nje ndio linaharibu kila kitu,hapo hata hayo mapenzi anayoonyesha kwa mume yanakuwa hayana maana tena,.
Yaani unionyeshe mahaba feki halafu bado ukaliwe nje,ndio maana kuna mtu hapo juu kasema kule wana tabia ya umalaya.
 
Sio kwamba hayo mahaba ni feki, ni ya kweli ila ni tamaa tu na sometimes ujinga unawapeleka puta.

Hlf Tanga ni mji una mambo ya utani sana, so kiutaniutani mdada anaweza kuliwa.
 
I declare interest, asili yangu ni Tanga though maisha yangu yote nimekuwa Dar es Salaam.

Kule Tanga mzee wangu ana nyumba yake ina wapangaji kadhaa. Nilipomaliza chuo nilipitia kipindi kigumu flani kisaikolojia so nikaenda kule kupumzika kama muda wa mwezi mmoja.

Bwana bwana, wanawake wa Tanga wanajua mapenzi and by this I dont mean masuala ya chumbani maana sikuyashuhudia ila mahaba kwa ujumla yaani submission, huduma, unyenyekevu…Yaani yale mambo wanaume wanapenda hawa wanawake kwao yanakuja naturally. Mwanaume ni priority kwake, mwanaume ni mfalme, tena hawa ni wanaume wa maisha ya kawaida sana wanaendesha tu baiskeli kwenda kazini…

Niseme tu, Tanga wadada wanalelewa kuja kuwa mke tangu wakiwa wadogo.

Kuhusu ndoa za Tanga kutodumu, ni kweli! Na hii haimaanishi hawana hizo sifa hapo juu, ila ukweli ni kwamba wengi wana tatizo la kuliwa nje na wana tamaa. Yaani ukienda Tanga na pesa unakula mke wa mtu kirahisi sana. Na pia kuachika kule sio jambo la aibu kwa sababu mtu kuolewa tena sio ngumu. Yaani bandika bandua.
Sikupingi...

#MaendeleoHayanaChama
 
Hapo mwishoni kumbe wanafanana na wale wanawake wa mikoa ya kusini na mwambao wa Pwani kwa ujumla kama ni hivyo basi!
 
Tanga iko overrated alafu mtwara Kwa wamakonde iko underrated..Tukirudi nyuma wamakonde walichukuliwa wakapelekwa Tanga kwenda kulima katani(mkonge),na wengi wao hawakurudi tena mtwara.Kuna uwezekano wamakonde ndy waliwafundisha hao wenyeji hayo mambo

Kwenye chakula nawapa yes..wanawake wa Tanga ni mafundi wa mapishi,sijui majirani zao wa pale mlima mrefu wanakwama wapi!! Si wakapige chabo Tanga?

Mleta mada umewahi kwenda mikoa ya kusini Lindi na mtwara? Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha

Ndugu yangu ndege JOHN anajua hbr ya wanawake wa Lindi na mtwara,ngoja aje kutoa ushuhuda..karibu shehe wangu ndege JOHN [emoji28]
Mtwara nilikutana na mrembo mmoja baada ya kazi nzito usingizi ukampeleka nilikuja kushituka nalowana kumbe kikojozi daa nilikasirika sana na hamu ikakata
 
Sio kwamba hayo mahaba ni feki, ni ya kweli ila ni tamaa tu na sometimes ujinga unawapeleka puta.

Hlf Tanga ni mji una mambo ya utani sana, so kiutaniutani mdada anaweza kuliwa.
Basi hawafai kuoa kama ni hivyo,maana utakuwa unafuga visivyofugika
 
Tanga ndio mkoa ambao wanawake wanatabia nzuri za wastani ambazo wanaume huzipenda.

Matharani:

Adabu
Usafi wa mwili na mazingira
Kupika vizuri
Ukarimu kwa ndugu na majirani na watu baki
Mahaba kama yote
Nidhamu
Wanajua kumstahi Mwanaume
Wanaelewa lugha ya kuluzu
Wanajua kumsikiliza Mwanaume
Wanajua kumsikia Mwanaume akisema jambo

Wanajua kustahamili mambo

Wanajua kusubiri

Ukienda kwa hao wanawake wengine utapata kimoja au viwili katika hivyo lakini vingi hawana utavikuta Kwa wanawake wenye asili ya Tanga tu [emoji108][emoji108]
 
Lakini inasemekana sio watulivu kwenye ndoa,yaani uaminifu sifuri
 
Back
Top Bottom