Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?


Mtafahamiana kama mpo site moja, Mtafahamiana kwenye kutekeleza majukumu but that doesn’t give you an opportunity to interact easily.

Usalama wa zamani mtu mmoja anakuwa na a lot of things; Yaani anakuwa mult informed, mpaka akija kuondoka anatishia usalama wa nchi au awe well monitored hata baada ya kustaafu .

Usalama wa sasa unajua a very little portion of information that you are required to know ili hata ukipigwa chini unakuwa huna athari zozote. The most important note; usalama kwa usalama huchungana na kutoa taarifa za usaliti.

Ukifikia hatua za kuripotiwa kama Msaliti, imekula kwako. You will never be the same.

Hakuna kazi nzuri kama Usalama kwa maana unalitumkia taifa lako kwa dhati na nidhamu na unakuwa very much informed about what is wrong and right. You see things in a big picture.

Unawezaa kuwa usalama wa Jeshini yaani kutoa taarifa nani anajaribu kufanya nini; unaweza ukawa usalama as a doctor Hospitalini kutoa taarifa sahihi.

Usalama not necessarily ushike gun.

Hakuna nchi ambayo haina usalama kwa maana usalama ni kwa ustawi na security ya nchi. Kuna mambo mengi sana yanatokea nyuma ya pazia ambayo wengine hupoteza maisha na kuhatarisha maisha yao just kwa ajili ya wànanchi ambao usiku huvuta shuka na wake zao.


Mk54
 
under cover ndio hatufahamiani, hao wengine wanajuana kama watumishi wengine tu wa umma wanaenda ofisini kila siku na wanaishi kwenye nyumba za idara

Kwa mfano Mimi nilikua sifahamu kama DG wa sasa ni Mwana idarA

DG wa taasisi gani ?
 
Nadhani ww hufai sababu katika vitu hatarishi kwa Agent ni kuwa recognized kwa haraka

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha nimecheka sana. Ila kuna kasumba kwa awamu ya 5. Na hiyo kasumba ndio lengo lililokusudiwa. Kuwachanganya watu and not to trust each other.

1. Ukiwa muajiriwa mpya, hapo ofisini wanaanza kukuwekea mashaka even if you are not.
2. Ukihamishwa taasisi moja kwenda nyingine Mfano umetoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar na kuhamishiwa GPSA May be kwa Sababu ya good performance au bad performance yako - wafanyakazi wa hapo ulipohamia wataanza kukutilia shaka

3. Kuna watu practically sio waongeaji, lakini wakiongea they ask too many questions ili wapate kuelewa mada na unakuta ana tabia za kurudia rudia maswali. Sasa imagine una tabia hizi Halafu umehamishiwa GPSA kikazi, just piga picha.

4. Kuna watu ni Antisocial by nature; hawapendi ku mingle kwa sana; wanapenda kuwa alone alone hata wakiwa home na majirani zao. Ni salam kisha ndani. Hujui anaumwa, hujui anakunywa. Probably hajulikan anafanya kazi gani, demu wake hajulikani, hujui dini yake ,hujui ndugu zake na hata ndugu zake hawamsomi, hapost chochote Wasap, wala Instagram, uki mtext muda wa Asubuhi atakujibu usiku tena kwa ufupi sana: yaani ha-entertaining any chatting;

Na kama yupo kwenye Group la wasap he never comments but he is there and reading everything .Ukimuomba msaada atakusaidia kama anaweza na ataendelea na issue zake.

Hizi ni sifa za baadhi ya watu wa system kulingana na nature ya kazi yenyewe. Sasa ukiwa na sifa kama hizi hakuna namna yoyote itakayowafanya watu wasikuhisi kuwa wewe si usalama. Watasema tu huyu ni usalama hata kama sio.

Lakini sio kila Mwanausalama ana sifa kama hizo; kuna baadh ya vitengo kulingana na nature ya kazi yako unatakiwa kusikiliza sana ; na kazi nyingine unatakiwa kuwa talkative talkative Yaani unachokoza maongezi.

Mfano unaweza kusema;

TL ni mjinga tu kwanini yeye awapigie simu Acacia na kuomba kuinunua kesi ili TZ ishindwe, je tukishindwa atanufaika na nini, hana akili wacha lipigwe risasi na chadema wenzie.

Phrase kama hiyo hapo juu utahamsha hisia za watu wengi sana; hivyo kazi yako itakuwa ni kusikiliza na kupata majibu unayoyataka ikiwa ni pamoja na kutukanwa.

All in all; serikali ikitaka taarifa yoyote katika nchi inaipata; ukiona haijaipata ujue haijaamua kuipata hiyo taarifa.

Kwa mfano unafanya kazi bank ya CRDB au JamiiForums na Serikali inataka taarifa za hapo na kwa mfano hakuna mtu wa system hapo; basi atachukuliwa mfanyakazi wa hapo mwenye Muda mrefu ( hasa katika level za Manager au technical personnel) ataombwa kwa heshima na taadhima kutoa taarifa fulani na atahakikishiwa usalama wake na confidentielity ya mazungumzo yao.

—Kwa maadili ya usalama yaliyotukuka na kubarikiwa na Muumba Mungu Mkuu, Usalama are required not to breach the agreements, na unaweza kuwashitaki ikiwa wame breach.

—Mfanyakazi atatoa taarifa na data zote zinazohitajika pasipo kumwambia mtu yoyote na hupaswi kupika data maana usikute Taarifa Inaenda Ikulu mahala takatifu; pasipokuwa na Najisi; otherwise utakwenda na maji uki misslead taasisi ya Uraisi, taasisi ambayo ina baraka za Mungu Mkuu na Wananchi kwa dhamana ya kulilinda Taifa na wajawake.

—Hakuna kazi nzuri kama Usalama ; Ni kazi pekee ambayo unaweza kuingia peponi kwa urahisi sana kwa wale wanaoamini mambo ya pepo. Ni kazi bora kuliko kazi ya kuwa Shekh au Padre etc etc. Imagine unatoa taarifa za kulinda taifa lako, wakati mwingine una weka maisha yako hatarini. Imagine Kazi ya wanajeshi na polisi wanapopambana na majambazi. Wengine hufa kabisa.

Boko haram wanaotishia huko Kenya; imeilazimu Kenya kutengeneza watu walioenda kuji mix na Boko haram; hivyo mitego mingi inateguliwa bila hata raia kujua na wanakamatwa lakini pia baadhi ya wanausalama wamekufa katika purukushani hizo. Wakati huo wewe upo kitandani unazungusha kiuno tu lol, ikifika wiki end unaenda Supermarkets na familia yako kisha kanisani kwa fadhila za usalama uliowekwa na wanausalama. THINK !

Imagine kama kuna machafuko ya kisiasa au vita, utaweza kwenda kanisani au msikitini au kwenda kuabudu mizimu yetu ya Mlima Kilimanjaro tuliyoachiwa urithi na babu zetu waliopata revelation kutoka kwa Mungu Mkuu, utaweza kwenda ? The answer is No!

Wabongo tunadhana mbaya sana na kazi ya Usalama; Hakuna watu wanaofundishwa nidhamu na unyenyekevu wa Hali ya juu dhidi ya binadamu, wanyama, miti, maji, mawe, and everything kama Usalama.

Usalama ni kazi inayolindwa na Mungu mwenyewe ndio maana kila nchi ipo na kila Mwanausalama kuiona Pepo ni wajibu kwa kuwa tayari kuna baraka za Mungu.

Just pay attention, you will see the truth
 
Umejuaje? Hivi tuseme kwa mfano CIA wangefanikiwa kuzuia tukio la Septemba 11, wangetangaza kwenye vyombo vya habari watu wakajua? Na kama wasingetangaza, nani angejua kama wamezuia tukio la ajabu kama lile?
Usikute kuna mamia ya matukio huko nyuma walishazuia, yanayofana na hilo au hata kupita hilo, ila watu hawakujua kwa sababu waliyazuia na hayakutokea, na yale yanayowaponyoka, yanakuwa yamejitangaza yenyewe, na yanaonekana ndiyo matukio pekee, kumbe hapana!
Mimi naamini watu wa intelligence wakiamua kuwa wanatoa press release, watu watatamani wahamie hata sayari ya Mars
 
2 never underestimate the power of unknown!!
Kuna watu wana msemo wa hekima sana kwenye rule hii " FITA NI FITA MURA". Unajua huu msemo ni wa hekima sana na una maana kubwa sana tofauti na uchache wa maneno yake?
 
Hata kwenye vyeti feki wengi walitumbuliwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli !!!Mimi nilienda sehemuTanga ,niliogopwa sana kumbe ni RAIA tu ,walihisi askari au afisa ,kumbe mimi si muongeaji kitabia ,nawasoma ili nijue wanapenda nini ,nikirud nakuja na relevant story

Hongera kwao Kwa nidhamu eti
 
Tubadilike ,tutakosa taarifa na mambo mazuri tutafichw kuhisiwa eti kumbe sio mkuu!
 
Yale magorofa ya makumbusho mule sijawahi kujua wanakaa wazee wa kazi maalum..
Nakumbuka nilipo mtoto nilikuwa naenda sana kuna bibi yangu mkubwa aliolewa na mzee mmoja hivi.
TISS wanajuana vizuri tu mkuu ndio maana wanaruhusiwa kuingia makumbusho pale getini au malindi au eagle wing bila kuzuiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well noted Well noted mkuu ,mambo meng yanaendelea kwa ground

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kiutu uzima mkuu tungeruhusiwa kujua Kira linaloendelea tungepoteana mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…