Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Mbona hata members wa jamiiforums ni tiss kwan humu kuna mtu ananijua naitwa nani? nakaa wapi? umri wangu? Watoto wangapi? Wake wa ngap? Kazi yangu? Tupige kifua wana jf tuseme na sisi tiss
 
..atafute tu hela hata khabari ya daimondi na dona wake aachane nazo hazimsaidii kabsaaa
 
.....
 
Hii Code ya Mwisho nimeielewa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inaitwa Deep State kwa lugha rahisi
 

hata sisi wakulima hatufahamiani wote na wala hatuaminiani
 
True, sio kaz nzuri kama tunavyo dhania
 
Kumbe wewe ni askari?
 
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Si kweli kwamba wote hawajuani, Hata Mwalimu aliyopo Tandahimba anaweza asimjue Mwalimu aliyopo Rorya!
Mifumo yao ya uendaji kazi ndiyo inaweza kuwatenganisha na kuonekana kila mmoja yupo kivyake. Na katika serikali zetu hapa TZ hawa jamaa wapo au wanaweza kuwa wapo katika kila idara, taasisi au kitengo; ndiyo hapo watu huona kama hawajulikani..!
 
Mbona hata members wa jamiiforums ni tiss kwan humu kuna mtu ananijua naitwa nani? nakaa wapi? umri wangu? Watoto wangapi? Wake wa ngap? Kazi yangu? Tupige kifua wana jf tuseme na sisi tiss
Hapa bosi wetu ni Max na timu yake 🀣 🀣 🀣
 
Ni sahihi kabisa mkuu!! Zamani walipenda Sana kutumia special schools kuwapata vijana!!

Siku hizi Ni kujuana na uccm zaidi

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Mh sasa wanawezaje kutumiki mabwana wawili yaana ccm na state?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…