Labda yanga ndio wamezomea mkuuNapinga tabia hii
View attachment 1323154
Mnapenda kujisahau
Kati ya simba na yanga yupi mwanzilishi wa kung'oa Viti pale taifa
Usipate shida sana juu ya hilo. Hiyo ndo tabia ya mashabiki duniani kote. Ukiwafurahisha, watakushangilia, ukiwaboa watakuzomea. Ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe. Wahusika wa team kwa maana ya uongozi,benchi la ufundi na wachezaji pia watakua wamepata ujumbe loud and clear; kilichobaki ni wao tu kuufanyia kazi. Jiulize, je ni mara ya kwanza kwa msimu huu simba kufungwa? Kwa nini wazomewe sasa?
"Great power, comes with great responsibilities".
Mkuu kuna tofauti gani wewe uliyekuwa una mshambulia Manula kwa makosa ya kibinadamu! Ni heri kuizomea Timu kuliko kumshambulia Mchezaji mmoja ...ina muumiza sana na inaweza ikamharibia kabisa...MBONA HUONI KUNDU LAKO!Napinga tabia hii
View attachment 1323154
Simba siyo manula tu , pamoja na kufungwa uliona akilaumiwa kakolanya ?Mkuu kuna tofauti gani wewe uliyekuwa una mshambulia Manula kwa makosa ya kibinadamu! Ni heri kuizomea Timu kuliko kumshambulia Mchezaji mmoja ...ina muumiza sana na inaweza ikamharibia kabisa...MBONA HUONI KUNDU LAKO!
Napinga tabia hii
View attachment 1323154
Kuzomea ni ishara ya hasira, kuchukizwa na kutoridhishwa na alichokifanya mzomewa kwa anayezomea. Lakini tusihukumu kabla ya kujihukumu.Usipate shida sana juu ya hilo. Hiyo ndo tabia ya mashabiki duniani kote. Ukiwafurahisha, watakushangilia, ukiwaboa watakuzomea. Ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe. Wahusika wa team kwa maana ya uongozi,benchi la ufundi na wachezaji pia watakua wamepata ujumbe loud and clear; kilichobaki ni wao tu kuufanyia kazi. Jiulize, je ni mara ya kwanza kwa msimu huu simba kufungwa? Kwa nini wazomewe sasa?
"Great power, comes with great responsibilities".