wapi nimesema ukimpinga Mungu unakuwa Mungu
mkuu una umeme mdogo kichwani
Ungekuwa mwerevu na unajua mambo walau kwa kutembetembea na kuwaona watu, usingekaza fuvu lako.Hayajawahi kumkuta mtu yeyote. Zote huwa ni hearsay stories zinazoaminiwa na watu wajinga.
Ungekuwa mwerevu na unajua mambo walau kwa kutembetembea na kuwaona watu, usingekaza fuvu lako.
Ukiona neno lipo kwenye kamusi basi elewa lipo hata kama huamini.Toa mfano wa mtu mmoja tu aliyethibitika kufariki na kufufuka? Zingatia neo "aliyethibitika" sio story za wajinga za hearsay.
Nyie watu mkiambiwa chochote tu mnaamini kama nyumbu.
Zwazwa mwingine alileta story kama yako hapa JF 2021 eti diwani alikufa na kutokea huko huko Kigoma. Mind you diwani ni ofisi ya umma majina na makazi yake ni public record. Nilimuuliza swali moja tu, taja jina la hiyo diwani. Hadi leo hajataja ila watu wajinga wajinga waliamini ile story. Niliahidi kutoa laki 5 TSH kwa mtu yeyote atayenipa jina la huyo diwani, so kama wewe unamfahamu huyo diwani naomba jina lake tu nitakupa laki 5 TSH. Hadi leo toka 2021 sijaepewa jina tu. Uzi huu hapa chini:
Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...www.jamiiforums.com
Magufuli naye alikuwa mjinga?Hayajawahi kumkuta mtu yeyote. Zote huwa ni hearsay stories zinazoaminiwa na watu wajinga.
Magufuli naye alikuwa mjinga?Hayajawahi kumkuta mtu yeyote. Zote huwa ni hearsay stories zinazoaminiwa na watu wajinga.
Mtu asikudanganye ukaamini kuwa unachokiona tu kwa macho yako ya damu na nyama ndicho halisi. Kuna mambo yanayoendekea hata hapo ulipo lakini utayaona tu kama utaweza kuona beyond upeo wa macho yako ya kawaida.Nani kakwambia naamini hizo bedtime stories?
Wewe na ndevu zako unaamini mtu alitokea na kutoweka? Mtu kasimuliwa na yeye kaja kusimulia na wewe unaamini? Inabidi uwe zwazwa kiasi gani kuamini huu upupu?
Kwa akili zenu nikiwaambia namjua mtu aliyeenda sayari ya Pluto na kurudi mtaamini?
Magufuli naye alikuwa mjinga?
Vipi na mainjinia walioikimbia kazi ya ujenzi wa daraja kutokana na mauzauza yaliyokosa majibu ya Kisayansi?
Mtu asikudanganye ukaamini kuwa unachokiona tu kwa macho yako ya damu na nyama ndicho halisi. Kuna mambo yanayoendekea hata hapo ulipo lakini utayaona tu kama utaweza kuona beyond upeo wa macho yako ya kawaida.
Mtu yeyote anayepinga uwepo wa uchawi anaweza akawemo kwenye moja ya haya makundi:
1. Ni mjinga, kwamba hajui kuwa huu ulimwengu unaoonekana ni matokeo ya ulimwengu usioonekana kwa macho ya kawaida isipokuwa tu kwa wale wenye aina ya macho yawezayo kuuona
2. Ni mchawi, na kama ilivyo kawaida ya wachawi wengi, hutafuta kuuficha uhalisia wao. Hawataki watu wajue kuwa wao ni wachawi, na ikiwezekana, hutafuta kuwaaminisha watu kuwa uchawi haupo.
Lakini kwamba uchawi upo, hilo ni jambo linalojulikana kwa wengi.
Binafsi nimeshakutana na matukio kadhaa ya kichawi, madogo kwa makubwa. Mojawapo ni la mwaka 2007 tukiwa Singida ambapo mtu aliingia ndani bila kufungua mlango. Nilimwona kwa macho yangu, na wenzangu nao pia. Lakini baada ya kutamka "KWA JINA LA YESU", alitoweka.
Alienda na kwenye chumba cha wenzetu pia ambacho kilikuwa mbali kidogo na tulikokuwa hivyo wasingeweza kutusukia tukiliongelea hilo. Aliingia kwenye hicho chumba bila kufungua mlango, na akatoweka bila kufungua mlango.
Kesho yake Asubuhi tulipokutana na wenzetu na kuwaeleza kilichotutokea, walitujulisha kuwa na wao walikutana na hiyo hali.
Ni tukio lililoshudiwa na zaidi ya mtu mmoja katika vyumba tofauti. Mimi, kwa macho yangu mawili nililishuhudia hilo, na wenzangu pia. Hakuna namna mtu anaweza kunidanganya katika hilo.
Kama ingelikuwa nimesimuliwa, ningeweza kutilia mashaka. Lakini tukio nililolishuhudia kwa macho yangu mawili nitawezaje kulitilia
mashaka?
Nimeshakutana na mengi zaidi ya hayo lakini hayakuweza kunitisha kwa sababu ninamwamini Mungu.
Uchawi upo, haijalishi kama unaamini au huamini.
Umesema hizi habari huwezi kuzikuta BBC na wapi vile ?? haya soma hapo chini πππNaijua TZ yote kama kiganja cha mkono wangu. Nimefika nchi kadhaa Africa na huko nje. You can't tell me nothing.
Story za ushirikina popote unapoenda unasimuliwa tu story za kijinga jinga zisizo na chembe ya uthibitisho hata kiduchu. Anayekusimulia nae kasimuliwa kama hii ya mleta uzi yani hearsay stories. Ukiwaambia okoa nguvu na muda thibitisha utapewa sababu zote duniani but uthibitisho.
Wewe na ndevu zako unaamini watu wanasafiri kwa ungo? Unaamini mtu alitokea na kutoweka kisa tu umeambiwa? Kama unaamini kama wewe sio kichaa I don't know what is.
Bongo unasikia mtu kafufuka, karuka na ungo, kajifungua jiwe kwenye media uchwara ila huwezi kuta hizo habari BBC, Al Jazeera, CNN unadhani kwanini? Hudhani mtu kufufuka sio breaking news duniani kote? Kwanini hivyo vyombo haviripoti unazikuta tu JF, Millard ayo, Njombe yetu, Geita yetu blog? Hata BBC Swahili au DW Swahili hawaripoti huo utopolo. Vyombo vya nje vinalinda integrity yao na audience yao ni watu timamu hawawezi kukusikiliza tena ukianza story za watu kufufuka sijui kupaa na ujinga kama huo.
Inabidi uwe zwazwa kiwago cha SGR kuamini story za ushirikina.
Umesema hizi habari huwezi kuzikuta BBC na wapi vile ?? haya soma hapo chini πππ
Kwahiyo huo uchawi una nguvu zaidi ya hivo ulivyovitaja? sasa wenye uchawi huo mna-deal nao vp?kimsingi huo uchawi ukiupata utaweza kusafiri juu ya maeneo ambayo field ya uchawi haifanyi kazi ie; kanisani, juu ya bahari...
njia ni nyingi mfano curses(laana)Kwahiyo huo uchawi una nguvu zaidi ya hivo ulivyovitaja? sasa wenye uchawi huo mna-deal nao vp?
Hapa kidogo umenipoteza! ... yaani unampa laana ama kwa lugha nyangine ni kama unamtukana vile si ndio?njia ni nyingi mfano curses(laana)
kwanini unaniamini weweπ€£Hapa kidogo umenipoteza! ... yaani unampa laana ama kwa lugha nyangine ni kama unamtukana vile si ndio?
Mi ninavyojua laana hutoka kwa mwenye mamlaka sasa je wewe una mamlaka dhdi ya mashetani?