Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
Uhitaji ni kama njaa huwa shauku inakuwa juu ya matokeo na kupoteza utulivu wa kuchunguza madhara na hilo wanalijua vizuri watu ambao wanataka kukupoteza.
Mtu akitaka kukupoteza atasubiri pale ambapo uhitaji wako uko juu kwa sababu anajua fika utakossa utulivu na hapo ndipo atapenyeza chaguo baya lenye sura ya uzuri na kwa sababu shauku iko juu utajikuta kwenye mtego.
Umri kwenye mahusiano imekuwa kiamsho kinachonyima utulivu wengi hasa jinsi ya kike na hapo pia wengi wamepotezwa kwa sababu shauku inakua juu kiasi kwamba utulivu wa kuchuja matokeo unapotea na mtu hudumbukia kwenye tanuru la moto lenye sura ya kuvutia
Shauku ikiwa juu sana usifanye maamuzi bali hakikisha unaithibiti kwanza kisha ndio unafanya MACHAGUO
#Mwanasayansi Saul kalivubha.
#Fikia Ndoto Zako