Ni kweli unaweza kumpata mwanamke wa ndoto zako kwenye klabu ya usiku? Nataka nijaribu bahati yangu leo

Ni kweli unaweza kumpata mwanamke wa ndoto zako kwenye klabu ya usiku? Nataka nijaribu bahati yangu leo

Sasa kama wewe viwanja vyako na hobbie zako ni clubbing kwanini utafute mtu kanisani ?!!!

Waswahili wa Pemba hujuana kwa Vilemba..., and more importantly relationship ni ngumu sana kuna mabonde na milima ya kutosha hivyo ni vema katika safari yenu angalau uwe na mtu ambaye mnaendana nae (a friend if you may)
 
Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku.

Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku.

Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa kadhaa ndani ya jiji la Dar es salaam nione huenda nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu.

Wakuu nipeni orodha ya bar na viwanja ambako wanapatikana wadada classic kwa wingi haoa jijini Dar es salaam.

Nikajaribu bahati yangu.

Huku mtaani MIYEYUSHO mitupu mademu wasumbufu hatari wanazungusha ile kinomanoma.

Wacha niende mtaani tu leo nikaoshe rungu.

Nipeni muongozo wakuu

Bora huko ndugu, hawa wa msikitini na makanisani wana tabia mbaya kuzidi hao!
 
Sasa kama wewe viwanja vyako na hobbie zako ni clubbing kwanini utafute mtu kanisani ?!!!

Waswahili wa Pemba hujuana kwa Vilemba..., and more importantly relationship ni ngumu sana kuna mabonde na milima ya kutosha hivyo ni vema katika safari yenu angalau uwe na mtu ambaye mnaendana nae (a friend if you may)
Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom