Sasa kama wewe viwanja vyako na hobbie zako ni clubbing kwanini utafute mtu kanisani ?!!!
Waswahili wa Pemba hujuana kwa Vilemba..., and more importantly relationship ni ngumu sana kuna mabonde na milima ya kutosha hivyo ni vema katika safari yenu angalau uwe na mtu ambaye mnaendana nae (a friend if you may)