Ni kweli unaweza kupewa penzi kwa kuonewa huruma au Kama zawadi?

Ni kweli unaweza kupewa penzi kwa kuonewa huruma au Kama zawadi?

Cabo,
Aaaaahhh mzee kwenye hiki kiluga chako umefanya hata sijaweza kuchangia chochote maana hola


Ujumbe nilioweka hapo ni kwamba jifunze kutunza thamani yako kama mwanaume. Usiruhusu mwanamke yeyote yule akufanye ww chaguo lake la pili baada ya kuachwa na watu aliowachagua kama machaguo ya kwanza.

Wanawake humdharau sana mwanamme aliyemkataa mwanzo baada ya muda fulani akakutafuta halafu ukamkubali
na kula mzigo. Hii kichwani kwake hutafsiri kuwa ww huna machaguzi mengine pia unakula vibudu mpaka kife ndo unaweza kula.


Ukitaka na yeye aumie akikuletea mwambie hapana, mimi sili vibudu. Songa mbele kama injili ya Yohana mbatizaji wapo wengi sana. Achana na "oneties & scarcity mindset" cha muhimu jenga maisha yako na uwe na kusudi linalokufanya kila siku upambane na maisha na ktk maisha hakikisha mwanamke sio kitu kinachokupa msukumo wa kupambana. Hutapata fedheha na kadhia kama aliyosema mjumbe aliyeleta hoja hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom