ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
RC wakikusanyaga tu mavuno kwa waumini jimbo moja tu huwa haipungui 500MWatu wana mashule ,wana mahospitali, wana mamiradi mpaka ya ufugaji kuku ila maostadh ubwabwa wanaamini jamaa hawana kitu ila wanapewa mahela bure bure,.
Bila kuweka unafki pembeni ukitaka kujua roho za maostaadh siku muarabu alete sadaka ya nyama ya ngamia na tende waachiwe wagawe
Uone vita ya tatu ya dunia kugombea tende tu, Sasa watu hao wangekuwa na mradi si kila siku utasikia nipe afu tano hapo nikanywe gahawa ,
Mara nipe nauli kwenye mauzo ya kuku hapo niende kwa mke mdogo ,
Sasa hayo yote ya nini , uswahili mwingiiiii akili mgongoni
Mbona hujajibu swali?..haya yote ya nini?RC wakikusanyaga tu mavuno kwa waumini jimbo moja tu huwa haipungui 500M
juzi kati jimbo la bagamoyo jimbo jipya kabisa likekusanya 1B
hawa watu wana miradi mingi mashamba makunba ya miti nk
hawana njaa ndio maana wanaisimamia kweli bila kujari wanaemwambia ni nani,
RC wanaendesha mambo yao systematic, wanamifumo kama ya serikali,
ukiingia jimbo moja utakuta kuna katibu wa elimu jimbo, katibu wa afya jimbo, Afisa rasilimali watu jimbo, kuna katibu wa kilimo!
pia wana wafadhili kutoka nje, Italy, sweeden, germany na uholanzi
Roma haikujengwa siku moja
huwezi ukamuonga padri laki mbili akaongee ujinga wa kuisifu serikali
Kama wanauwezo wa kupata hela nyingi hivyo, mbona walikuwa wanalia lia mgao unaotolewa na serikali kwa ajili ya kudesha hospitali zao usiondolewe?RC wakikusanyaga tu mavuno kwa waumini jimbo moja tu huwa haipungui 500M
juzi kati jimbo la bagamoyo jimbo jipya kabisa likekusanya 1B
hawa watu wana miradi mingi mashamba makunba ya miti nk
hawana njaa ndio maana wanaisimamia kweli bila kujari wanaemwambia ni nani,
RC wanaendesha mambo yao systematic, wanamifumo kama ya serikali,
ukiingia jimbo moja utakuta kuna katibu wa elimu jimbo, katibu wa afya jimbo, Afisa rasilimali watu jimbo, kuna katibu wa kilimo!
pia wana wafadhili kutoka nje, Italy, sweeden, germany na uholanzi
Roma haikujengwa siku moja
huwezi ukamuonga padri laki mbili akaongee ujinga wa kuisifu serikali
kuna mtu uliona analilia huo mgao?Kama wanauwezo wa kupata hela nyingi hivyo, mbona walikuwa wanalia lia mgao unaotolewa na serikali kwa ajili ya kudesha hospitali zao usiondolewe?
jibu ni ndio wanapokea ruzuku kutoka serikalini, kama walivyosai i makubaliano na serikali,Mbona hujajibu swali?..haya yote ya nini?
Umeulizwa ni kweli Huwa mnapata mgao wa serikali wa MoU?
Mfano hospital gani ya kanisa katoliki mgonjwa anachajiwa bei sawa na hospitali za Binafsi?Nasikia wanapokea mamilioni kwa ajili ya kuchangia uendeshaji wa hospitali zao, lakini cha ajabu mgojwa akienda kutibiwa anachajiwa bei sawa na hospitali za Binafsi.......
hospitali zote za dini ambazo ziko chini ya mpango wa ruzuku, gharama za matibabu hazipishani na hospitali za serikali, pia wazee, watoto na wajawazito hupata huduma bureNasikia wanapokea mamilioni kwa ajili ya kuchangia uendeshaji wa hospitali zao, lakini cha ajabu mgojwa akienda kutibiwa anachajiwa bei sawa na hospitali za Binafsi.......
hawa jamaaaWakuu,
Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini?
Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea fedha au mgao maalum kutoka serikalini, lakini sijui kama hizi ni tuhuma tu kama nyingine zinazotolewa mara kwa mara, au kama kuna ukweli wowote ndani yake.
Naomba mwenye ufahamu anieleweshe vizuri.
View attachment 3511209
Mashehe wengi hawana akili, si wamwambie mashalavu awachotee hela.Wakuu,
Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini?
Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea fedha au mgao maalum kutoka serikalini, lakini sijui kama hizi ni tuhuma tu kama nyingine zinazotolewa mara kwa mara, au kama kuna ukweli wowote ndani yake.
Naomba mwenye ufahamu anieleweshe vizuri.
View attachment 3511209
Kuna bibi kauawa mwaka huu kwa kusukumwa na shekhe ili akae kwenye mstari wakati wa mgao wa nyama ya mwarabu, kisha bibi akaanguka na kufariki.Bila kuweka unafki pembeni ukitaka kujua roho za maostaadh siku muarabu alete sadaka ya nyama ya ngamia na tende waachiwe wagawe
Waliokudokeza hayo ungewauliza:-Wakuu,