Ni kweli uwezo wa kijana Mika Chavala kifikra unazidi nusu ya wabunge wote wa mchongo?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Nimesikitika sana kuona Mika Chavala amekamatwa na kupewa kesi ya mchongo ya uhaini. Mika sio Mhaini, please free him. Mika ni kijana makini mwenye uwezo mkubwa wa akili anayeweza kuwa msaada mkubwa kwa taifa hili siku chache zijazo. Uwezo wa Mika kifikra unazidi nusu ya wabunge wote wa mchongo. Sasa mnampa kesi ya uhaini ili mumnyonge? Hebu acheni upuuzi. Free Mika Chavala now.!.
Your browser is not able to display this video.

Mika Chavala ni miongoni mwa watu wanaokabiliwa na tuhuma za kesi ya uhaini,
na hadi sasa anaendelea kushikiliwa rumande akisubiri mchakato wa kesi hiyo kuendelea.
​
 
Dogo yuko sahihi ana Tone kama ya Prof Lumumba
 
Ilikuaje akapewa kesi ya uhaini?au alikamatiwa barabara D9?

Anaonekana yuko bright sana huyu Gen Z,angetakiwa hata awe naibu waziri Wanu Manunu atolewe pale

Kama kawaida ya serikali yetu watu wenye akili wanafungwa au wanatupwa nje ya mfumo matokeo yake wajinga ndio wametawala.
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1BezBxYjVL/
 
Aje D9 tuendeleze moto, hawatoacha kutufungulia kesi, kuteka, kupoteza na kuua mpaka tuwaondoe.

Hakuna mwenye akili kuliko sisi, wote tunazo tunataka aje D9 bila kukosa.
 
Unaanzaje kupata usingizi kuota kitambi na kwenda vacation Dubai Huku unapiga na kujipost Wakati Wananchi waliokuchagua uwaongoze wanakufa na njaa !?

Jamaa ana Akili sana ,

Thomas Sankara alert
 
WAMEMPA KIKI HUYO DOGO ALAFU NI MKRISTO LAKINI HADI KANZU ANA VAA NA SKAFU KICHWANI, IN SHORT DOGO ANA MIPANGO MIKUBWA MPAKA WANASHITUKA DOGO KESHA TENGENEZA CONNECTION YANI WAO WAMEMPA KIKI AKIGOMMBEA UBUNGE CHAP TU,,,,,,, KATEMBEA NCHI NYINGI SANA MAJUKWAA KIBAO KASIMAMA, HUYU PEKE AKIAMUA ANADONDOSHA SERIKALI, KAMA WANA AKILI BASI WAMUACHIE ALAFU WASHIRIKIANE NAE ATUMIWE KAMA DARAJA LA MARIDHIANO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…