Ni kweli Vatican wanakataa kumpa Uaskofu Padri Kitima baada ya kupata tetesi anataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.

Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana duniani. Taarifa zinasema Padri Kitima alishinikiza Baraza la Maaskofu wasome waraka wake makanisani kote nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama chake
 
Sio kweli bhana.. hagombei huo ubunge
 
Yaani umelishwa matango pori na huyo jamaa yako huko uliko, halafu unakuja kuyatapikia kama yalivyo humu jukwaani!! This is not fair at all.
 
Kwani ulisikia alikuwa amependekezwa kuwa askofu na Vatican ikakataa? Mchakato wa uaskofu huwa ni mchakato wa muda mrefu sana na kama yuko earmarked siku moja atakuwa tu.
 
Huna hujualo. Kiongozi wa kanisa katoliki (padre/askofu) haruhisiwi kugombea uongozi wa kisiasa
 
Kwan Methodius kilaini alitaka kugombea wap na kwa chama gani akanyimwa uaskofu mpaka wa leo?
 
Don't show your ignorance!
 
hoja sio hiyo,hawezi kupewa uaskofu kwani amezaa na wanafunzi alipokuwa mkuu saut university
 
Unaandika uharo.
Kitima ana waraka gani?ana nguvu gani ya kuwalazimisha maaskofu kukubali waraka usio wao usomwe majimboni mwao?kimfumo Askofu jimbo ana mamlaka kamili na hawajibiki kwa yeyote hata kwa papa ila kwa kristu peke yake.
Wewe popoma hujui miundo ya kanisa katoliki wala huwezi kupata fununu hata inayomhusu katekista sembuse ya vatican
 
Hivi unaona kuna mtu mwenye akili nzuri angetaka kuwa kwenye Bunge la sasa hivi ili iwe nini?
 
Acha ujinga.
Anagombea kwenye jimbo gani yaani umelala kuota unakuja anzisha bandiko la kipuuzi!!
 
Sii kweli, msikilize mwenyewe hapa, nilimuuliza kuhusu yeye na Chadema
View: https://youtu.be/_iDRrF9NqwA?si=cJUqTOidf4LNm-h0P
 
Mkuu hiyo akili umeazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…