Ni kweli Vatican wanakataa kumpa Uaskofu Padri Kitima baada ya kupata tetesi anataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA?

Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.

Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensiaM Kali sana duniani. Taarifa zinasema Padri Kitima alishinikiza Baraza la Maaskofu wasome waraka wake makanisani kote nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama chake
Machawa mlivyokuwa wajinga, hata kutunga uongo hamjui. Hakuna anayejua jinsi Pope anavyoteua maaskofu kwani hata maaskofu katika nchi husika hushtukizwa, sasa huyo mmeo aliyekudokeza ni kiazi kama wewe
 
Usipende sana maneno ya kuambiwa kuhusu watu wengine. Kumbuka, small minds discuss people. Unatakiwa ujiulize Kama Padri huyo akigombea, will that be a good idea..?
 
Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.

Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana duniani. Taarifa zinasema Padri Kitima alishinikiza Baraza la Maaskofu wasome waraka wake makanisani kote nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama chake
Kwani MAPADRE WOTE LAZIMA WAWE MAASKOFU? NA JE WASIOPEWA UASKOFU WAMEGOMBEA CHADEMA? TATIZO LA MACHAWA MTU ATAKAYESEMA UKWELI DHIDI YA SERIKALI hata kama hana chama anahusishwa na CHADEMA wakati sio Watanzania wote ni Wanachama wa Vyama vya SIASA wengi hawana itikadi za VYAMA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hapa naunga mkono, Kuna mhadhiri mmoja aliacha kazi kwa sababu ya Kitima, Kitima alikuwa anapita na mkewe
Huna uwezo wa kusikia tetesi yoyote kutoka Roman Catholic, huo uwezo huna. Na bado hujui Askofu anapatikanaje na Askofu mwenyewe hajui sembuse wewe. Na hujui lolote kumhusu Padre Kitima.
 
Naona wapambe wake mmefika, Kuna habari ana watoto aliacha SAUT baada ya kuzaa na watoto wake
 
Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.

Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana duniani. Taarifa zinasema Padri Kitima alishinikiza Baraza la Maaskofu wasome waraka wake makanisani kote nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama chake
Sababu siyo hiyo. Sababu ni kwamba ana wake wawili pale Tanga na amezaq nao wote na kawajengea nyumba kila mmoja. Kanisa Lina intelijensi kubwa sana hawabahatoshi Hawa mabwana. Wake zake ukitaka naweza kukupa majina yao
 
Hebu funguka
 
Sheria za kanisa haziruhusu mapadre kuwa viongozi wa kisiasa👇👇👇👇👇
20231207_212937.png
 
Hakuna anayejua nani atakuwa askofu, ni siri. Hata maaskofu waliopo wanaambiwa jina likishatoka

Ukisikiliza interview za maaskofu wateule wanasema, "nilipigiwa simu na balozi wa Papa,nikaambiwa nifike ofisini, nikapewa hizo taarifa, then unaulizwa unakubali au unakataa??
 
Back
Top Bottom