Mnaosoma hii mada msifikiri mleta mada ni mtu asiejua, bali ni liccm lililopanga tu kumchafua fr. Kitima na Chadema kwa wakati mmoja.Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.
Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana duniani. Taarifa zinasema Padri Kitima alishinikiza Baraza la Maaskofu wasome waraka wake makanisani kote nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama chake