Vipi kuhusu UTI na Gonorea inayotibika kwa njia rahisi kabisa ya tiba lishe au unaelewaje neno "tiba lishe" Mkuu?.
Mambo ni mengi Mkuu
Mkuu napokwambia hizo ndoto ni za alinacha means nimekutana na wagonjwa ambao wanajidai sijui wametumia Tiba lishe na wengine mpaka tumefanya Culture(Kuotesha Mkojo) na bado walikua na UTI.
Hayo ni magonjwa yanasababishwa na Bacteria ambae ni kiumbe hai. Principles za hao wadudu ni mbili either Umuue au umzubaishe asizaliane au uyafanye yote kwa pamoja.
Je tiba lishe inafanya lipi hapo?
Kama ni hivo ugonjwa wowote ambao unasababishwa na Bacteria unatibika kwa Tiba lishe maana hata hosptali dawa zinazotumika kuua bacteria zinaitwa antibiotics na unakuta dawa moja inaua mdudu zaidi ya mmoja.
Hicho ni kichekesho cha karne, killing a bacteria kwa kula tu au stoping it frow lwa lula tu?, lishe ipi hiyo?
Mpangilio upi huo utaua Bacteria?
Na katika kiwango gani?
Wanga/carbohydrates?
Mafuta/ Fats?
Protein?
Vitamins?
Rouphages?
Emu tuweekeni hata Research Papers basi maana Mambo hayawezi kuaengi afu hayapo kwenye maandiko.
Sipuuzi vitu tuvilavyo, vinasaidia katika kinga dhidi ya magonjwa na kupunguza dalili za magonjwa.
Mfano tu, kuna research papers zinaonesha kusafishia baadhi ya Vidonda na asali inazuia ukuaji wa bacteria katika vidonda hivo.
Emu na wewe tuwekee research paper hizo na muunganiko huo ili watu waache kumeza dawa za hospitali kabisa.
Bacteria ni kiumbe hai kama wewe kuna mazingira anaitaji kukua.
Hata tunapoitaji kumuotesha tunamwekea chakula [emoji2]
Afu afe kwa chakula kinachomkuza?
Kama lishe inaua bacteria basi hakuna mtu, isipokua wenye malnutrition, angepata Bacterial infection.
Jamani watanzania tuache kuamini katika miujiza na nguvu za giza.
Hizo ni ptojects za watu, hakuna research hata moja inaonesha hayo makitu.
No research no right to speak.