Ni kweli Vidonda vya Tumbo vinaweza kupelekea Umauti?

Ni kweli Vidonda vya Tumbo vinaweza kupelekea Umauti?

Mti wa mvumbazi na maziwa pia matunda ndo vilinifanya nikapona vidonda.
Trust me haukua na Vidonda vya tumbo.

Na sio kila magonjwa ya mfumo wa chakula yanayoleta tumbo kuuma ni vidonda vya tumbo(Peptic Ulcers) au dalili nyingineyo basi ni vidonda vya tumbo.

Kuna magonjwa katika mtiririko huo kama Gastritis au tatizo jingine linaitwa Non Ulcer Dyspepsia.
 
Vipi kuhusu UTI na Gonorea inayotibika kwa njia rahisi kabisa ya tiba lishe au unaelewaje neno "tiba lishe" Mkuu?.

Mambo ni mengi Mkuu
Mkuu napokwambia hizo ndoto ni za alinacha means nimekutana na wagonjwa ambao wanajidai sijui wametumia Tiba lishe na wengine mpaka tumefanya Culture(Kuotesha Mkojo) na bado walikua na UTI.

Hayo ni magonjwa yanasababishwa na Bacteria ambae ni kiumbe hai. Principles za hao wadudu ni mbili either Umuue au umzubaishe asizaliane au uyafanye yote kwa pamoja.

Je tiba lishe inafanya lipi hapo?

Kama ni hivo ugonjwa wowote ambao unasababishwa na Bacteria unatibika kwa Tiba lishe maana hata hosptali dawa zinazotumika kuua bacteria zinaitwa antibiotics na unakuta dawa moja inaua mdudu zaidi ya mmoja.

Hicho ni kichekesho cha karne, killing a bacteria kwa kula tu au stoping it frow lwa lula tu?, lishe ipi hiyo?

Mpangilio upi huo utaua Bacteria?
Na katika kiwango gani?

Wanga/carbohydrates?
Mafuta/ Fats?
Protein?
Vitamins?
Rouphages?

Emu tuweekeni hata Research Papers basi maana Mambo hayawezi kuaengi afu hayapo kwenye maandiko.

Sipuuzi vitu tuvilavyo, vinasaidia katika kinga dhidi ya magonjwa na kupunguza dalili za magonjwa.
Mfano tu, kuna research papers zinaonesha kusafishia baadhi ya Vidonda na asali inazuia ukuaji wa bacteria katika vidonda hivo.

Emu na wewe tuwekee research paper hizo na muunganiko huo ili watu waache kumeza dawa za hospitali kabisa.

Bacteria ni kiumbe hai kama wewe kuna mazingira anaitaji kukua.
Hata tunapoitaji kumuotesha tunamwekea chakula [emoji2]
Afu afe kwa chakula kinachomkuza?

Kama lishe inaua bacteria basi hakuna mtu, isipokua wenye malnutrition, angepata Bacterial infection.

Jamani watanzania tuache kuamini katika miujiza na nguvu za giza.

Hizo ni ptojects za watu, hakuna research hata moja inaonesha hayo makitu.

No research no right to speak.
 
Sawa Mkuu, na inakuwaje viginal fungus kuuliwa kwa ulaji wa vitunguu swaumu na chakula chenye viungo lishe vingi?.

Hivi unamchukuliaje Bacteria au unamchanganya na Virus?.

Mbona magonjwa mengi tu watu wanapona vizuri mkuu au haujui kuwa kuhara kunaondolea kwa chai yenye karafuu? Kuhara kunaleta na nini?

Au unafikiri naongelea habari yakula matunda asubuhi hadi jioni?, sijawa Dokta Ndodi Mkuu.

Tiba lishe ni mambo mengi sana sema imekuwa kama tamaduni kuongelewa upande mmoja tu na viungo vinavyoonglewa na vitatu sana sana chumvi, sukari na mafuta ila amini viungo ni vingi na vina kazi kubwa sana.

Nakuongezea nyingine, ipo michemsho inayoleta wowowo kwa wadada na ni tiba lishe kabisa uliza ufundishwe usibaki na vya shule tu Mkuu, dunia pana sana hii.
 
hauna mawasiliano yake
Mkuu pole kwa tatizo.
Nami ni mhanga mwenzio.
Niliumwa mwaka 2017 wakati nipo Chuo. Nilikuwa busy sana na masomo especially project hivyo sikuzingatia kabisa chakula.

Mwaka huo huo mwishoni nilienda Hubert Kairuki Memorial Hospital kuhakiki tu tatizo maana tayari niliua kama ni vidonda vya tumbo kwa kutumia application ya Ada.

Nilichekiwa na kweli ikawa kweli. Nikapatiwa dawa nikatumia within a month. Tatizo likatulia kabisa.

2018 yote ilikuwa shwari kabisa. 2019 mwishoni tatizo likarudi tena.
This time sikuwa Dar. Nilikuwa Ruangwa kijijini kabisa kwa Mh. Waziri Mkuu.

Nilielekezwa na wenyeji kuwa kuna sehemu niende nipate tiba za asili. Lakini sikua ninaamini sana mitishamba badala yake nikawa natafuta zile dawa nilizopewa kule Kairuki.

Nilizipata nikatumia bila mafanikio aseeh. Kuna usiku mmoja nakumbuka sikulala kabisa. Nilijipinda the whole night. Maana nilikula mhindi wa kuchemsha jioni ya siku ile kumbe ni sumu kwa vidonda vya tumbo.

Asubuhi tu kukucha aseeh nikawahi kupelekwa kwa huyo mtoa dawa za mitishamba.

Ni mama wa makamo na ni Diwani mstaafu. Akaniambia nirudi jioni. Dozi ni Tsh. 15,000/= tu. Anakupa kidumu cha 5ltrs.
Kweli jioni nikaenda nikapewa dozi. Nakumbuka alinipa na mhindi wa kuchemsha. Nilisita kuupokea kwa kukumbuka huenda kusilalike tena.

Kwakweli sikutegemea. Siku ile usiku nilikunywa kikombe kimoja cha ile dawa ujazo wa kikombe cha chai. Usingizi ukawa mtamu sana hata kazini nikachelewa.

Kutokea mwaka ule 2019 mwishoni hadi muda huu March,2021. Sijawahi kupata tena yale maumivu ya vidonda vya tumbo.

Nilishangaa kwa nini huyu mama sio tajiri?
Yaani angekuwa yupo Dar angejaliliwa sana na watu.

Kuna hadi manesi wa Hospitali ya Ndanda Mission niliwakuta pale wanachukua dozi yao. Sijajua ni mti gani anauchemsha. Ila ladha yake inakuwa inakupa kinyaa ikikaa zaidi ya siku 2.

Hivyo mkuu usikate tamaa. Mungu yupo pamoja nasi. Jaribu various options. Utapata nafuu tu.
 
Habari zenu wana JF.

Mimi ni Muathirika wa tatizo la Vidonda vya Tumbo Almost Mwaka sasa lakini kutokana na kuutibu huu ugonjwa bila mafanikio nimepata comment mbali mbali ambazo nyingine zimenipa khofu.

Nataka niamini tunkwa ushuhuda ni kweli vidonda vya tumbo vinaweza kupelekea kifo? na je ikifikia stage gani ya maambukizi mpaka kupelekea kifo? je ni nini dawa mujarabu ya tatizo hili?
Sio vya tumbo tu hata kidonda mguuni kinaweza kupelekea umauti.
 
Habari zenu wana JF.

Mimi ni Muathirika wa tatizo la Vidonda vya Tumbo Almost Mwaka sasa lakini kutokana na kuutibu huu ugonjwa bila mafanikio nimepata comment mbali mbali ambazo nyingine zimenipa khofu.

Nataka niamini tunkwa ushuhuda ni kweli vidonda vya tumbo vinaweza kupelekea kifo? na je ikifikia stage gani ya maambukizi mpaka kupelekea kifo? je ni nini dawa mujarabu ya tatizo hili?
Usikae na vidonda vya tumbo, vina dawa nicheki nikupe muongozo wa dawa ya asili ya vidonda vya tumbo ila utainunua, mm mwenyewe nilipona tangu mwaka juzi.
 
Usikae na vidonda vya tumbo, vina dawa nicheki nikupe muongozo wa dawa ya asili ya vidonda vya tumbo ila utainunua, mm mwenyewe nilipona tangu mwaka juzi.
Mkuu ile dawa yangu bado unayo? maana nimekumbwa na mshike mshike hapo nyuma nikashindwa kukutafuta.

Niwie radhi sana.
 
Back
Top Bottom