Ni kweli wadada wa kazi wana madhaifu yao ila na maboss muwe na busara

Ni kweli wadada wa kazi wana madhaifu yao ila na maboss muwe na busara

Kwa Africa dada wa kazi ni sawa na mtumwa, Ila chakushangaza kwa mfano tu huu uzi ungelikua unazungumzia kuhusu wafanyakazi Uarabuni ungeona comment zingelijaa kede na ghazabu kabisa.

TZ mfanyakazi wa ndani wanalipwa mpaka elfu 15 kwa mwezi, Nahizo usikue hapewi mara anaambiwa anakamatiwa.
HAna uhuru wa kufanya yake binfasi hata kwa dakika 10, Kwa kifupi yupo kazini 24 hrs kila siku.
 
Roho tua na wewe, ulitakiwa uongee hayo kwa mtu sahihi, na kwa wakati muafaka ili umsaidie sasa kubwabwaja humu utakuwa umemsaidiaje
 
Back
Top Bottom