Mwaka huu tutajua Kama hao au wengine.Kwa Tanzania ni Magufuli tu na visiwani ni Hussein tu
Vegetable think tanks.Kwa Tanzania ni Magufuli tu na visiwani ni Hussein tu
Fool, hahaaa unahangaika we nzi wa kijana Lissu kawakalia vibaya....Kwa Tanzania ni Magufuli tu na visiwani ni Hussein tu
Hivi familia yako nayo inajua wewe ni mpumbavu kiasi hiki?Kwa Tanzania ni Magufuli tu na visiwani ni Hussein tu
Pumbafu lamwisho chama kinahasara kukuweka hapo Tanzania na visiwani Zanz na PembaKwa Tanzania ni Magufuli tu na visiwani ni Hussein tu
Fafanua tofauti ya Tanzania na Zanzibar ni nchi gani?Tujuavyo sisi Tanganyika iliungana na Zanzibar kuipata Tanzania.CCM hata huo muungano hamna ufahamu nao?Ukishataja Tanzania ufahamu umeijumuisha Zanzibar pia.Pumbafu lamwisho chama kinahasara kukuweka hapo Tanzania na visiwani Zanz na Pemba
Maombi yako yaliyojaa chuki Mungu hayasikii mkuu, maana Mungu hasikilizi maombi ya mwenye dhambi.Lisu hajapona tunamwombea apone
Hawakufanya hivyo, isitoshe Membe mwenyewe yupo nje ya nchi.Naona kufahamu waloifuatilia ufunguzi wa kampeni wa Zito Kigoma kama alimwombea kura mgombea wa ACT?!
HahahaaaaMembe ameaga mashindano
Jamaa yupo kama draculaRobot!!!
Acha kabisaMzee wa niguse ninuke!! Mzee ana mkwara mbuzi yule!!
Mzee wa mdomo wazi kama fisi anahema kama mamba aliyeachwa mchangani na jua linamparama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naungana na kauli ya Lissu kuwa wagombea urais kwa bara ni Lissu na Jiwe tu!
Sasa hawa wengine wanasubiri nini au ndo sub za CCM?
Mzee wa niguse ninuke daaah! Au ndo yale nguvu ya mamba ni ndani ya maji?
Mzee wa mdomo wazi kama fisi anahema kama mamba aliyeachwa mchangani na jua linamparama. Propesa huyu simsikii kabisa na ghiliba zake.