Uchaguzi 2020 Ni kweli wagombea urais sasa wapo wawili tu

Uchaguzi 2020 Ni kweli wagombea urais sasa wapo wawili tu

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
28,259
Reaction score
41,416
Naungana na kauli ya Lissu kuwa wagombea urais kwa bara ni Lissu na Jiwe tu!

Sasa hawa wengine wanasubiri nini au ndo sub za CCM?

Mzee wa niguse ninuke daaah! Au ndo yale nguvu ya mamba ni ndani ya maji?

Mzee wa mdomo wazi kama fisi anahema kama mamba aliyeachwa mchangani na jua linamparama. Propesa huyu simsikii kabisa na ghiliba zake.
 
Naomba kufahamu waloifuatilia ufunguzi wa kampeni wa Zito Kigoma kama alimwombea kura mgombea wa ACT?!
 
Pumbafu lamwisho chama kinahasara kukuweka hapo Tanzania na visiwani Zanz na Pemba
Fafanua tofauti ya Tanzania na Zanzibar ni nchi gani?Tujuavyo sisi Tanganyika iliungana na Zanzibar kuipata Tanzania.CCM hata huo muungano hamna ufahamu nao?Ukishataja Tanzania ufahamu umeijumuisha Zanzibar pia.
 
Naungana na kauli ya Lissu kuwa wagombea urais kwa bara ni Lissu na Jiwe tu!

Sasa hawa wengine wanasubiri nini au ndo sub za CCM?

Mzee wa niguse ninuke daaah! Au ndo yale nguvu ya mamba ni ndani ya maji?

Mzee wa mdomo wazi kama fisi anahema kama mamba aliyeachwa mchangani na jua linamparama. Propesa huyu simsikii kabisa na ghiliba zake.
Mzee wa mdomo wazi kama fisi anahema kama mamba aliyeachwa mchangani na jua linamparama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom