Ni kweli wanaume wanapenda makalio makubwa?

Ni kweli wanaume wanapenda makalio makubwa?

Ulipoleta utafiti wa Marekani umepuyanga mbaya kabisa!

Waafrika na wazungu wanatofautiana ikija kwenye suala la uzuri au mvuto wa mwanamke!
Tofauti iliyopo kwenye jambo hilì ni mbalimbali, kama ilivyo mbali mashariki na magharibi.
 
Screenshot_20220722-174707_Quora.jpg
 
Back
Top Bottom