Ni kweli wanaume wote wanapenda kupigwa mnyonyo?

kwa sababu una uhakika shemeji yako ameshaacha hela ya chakula kwa dada yako ndio maana mawazo yako ni ya hovyo asb yote hii, mwanaume anayepambana kulisha familia yake, kulipa kodi ya nyumba, kulipa ada kufanikisha kazi/biashara zake hawezi kuwa na mawazo ya hovyo hivi.
 
Mke wangu anafanya kazi ananihudumia kila kitu.
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana...
Naiona simanzi yako na huruma kupitia maandish yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…