Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Mbona unauliza kwa hamu sana? Una mpango wa kufanya hiyo experiment kwa nani kwani?
mkuu inaumiza sana kuona kijana asb na mapema kuwaza ngono badala ya mipango ya maishaMkuu umeongea kwa uchungu sana...
Naiona simanzi yako na huruma kupitia maandish yako mkuu
TENA NI ZAIDI YA HOVYO.Tumekwama sana kama nchi; ukiangalia trend ya ndoa na Mahusiano, na single Mothers, na umaskini wa wa Tanzania, kuvipa hivi vitu airtime ni jambo la hovyo sana!