Ni kweli wanawake waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 ni wazuri zaidi ya miaka ya nyuma??

Ni kweli wanawake waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 ni wazuri zaidi ya miaka ya nyuma??

White drone

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2023
Posts
201
Reaction score
386
Nimekutana na mtu akatoa hii hoja binafsi niliipinga lakini alitumia nguvu kubwa na mifano ya watu wetu wa karibu kushinikiza hoja yake, je ana hoja au apuuzwe??
 
Mlikuwa mnajadili uzuri katika muktadha upi Urembo au Uadilifu?
 
Huyo atakuwa ana matatizo ya kiakili!

Kwa akili ya kawaida tu,kama hao unaowaita watoto wa 2000 ni wazuri,Je mama zao wao wakoje?,ili mtoto wa kike awe mzuri mara nyingi hutegemea na mama yake alikuwaje ujanani kwake!

Hivyo wanawake wa zama zetu 80s to 90s ni wazuri sana kuliko Hawa watoto wa juzi!
 
Nimekutana na mtu akatoa hii hoja binafsi niliipinga lakini alitumia nguvu kubwa na mifano ya watu wetu wa karibu kushinikiza hoja yake, je ana hoja au apuuzwe??
Ni warembo sana ila U.T.I sugu, na Ukimwi hukosi ukiruka nao kwanzia watano wawili lazima wawe na ivo tajwa
 
Huyo atakuwa ana matatizo ya kiakili!

Kwa akili ya kawaida tu,kama hao unaowaita watoto wa 2000 ni wazuri,Je mama zao wao wakoje?,ili mtoto wa kike awe mzuri mara nyingi hutegemea na mama yake alikuwaje ujanani kwake!

Hivyo wanawake wa zama zetu 80s to 90s ni wazuri sana kuliko Hawa watoto wa juzi!
Nakubaliana na wewe hata mimi hiyo hoja niliitoa akaipinga, akasema eti kuna evolution imetoa
 
Wapo kwenye umri wa mvuto, wakifikia umri wa majukumu 30s, 40s na zaidi, wanapoteza ile nuru.

Wengi wananenepa(naona ni uzembe) lakini wanasema ni 'mwili wa kiutu uzima'.

Kwahiyo ni wazuri, lakini ni KWA SASA.
 
Back
Top Bottom