Ni kweli wanawake wenye jinsia mbili wapo?

Ni kweli wanawake wenye jinsia mbili wapo?

Hizi stori tumezisikia sana tangu utotoni kuwa kuna watu wana jinsia mbili. Wanasema hata jela itabidi ziwe na solo za watu wa aina hiyo, inaitwa transgender. Jela itabidi ukaguliwe kibabe kujua kama una mbili au moja ili usiwekwe kwenye kundi ambalo utafungiwa na watu ikaishia kupeleka moto au kupelekewa moto kama vitendo hivyo vitafanyika kwa siri japo haviruhusiwi ni kosa
 
Nilikutana nae ila nilimshughukia kisawasawa hadi alilia
 
Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi.

Je jambo hili linawezekana kisayansi?
Mina ni shemale.

Shemale anakua ni mwanaume kwa kuzaliwa ila akikua anajibadili muonekano anakua na mwonekano wa kike. Wanakunywa hormones za kike na dawa za kukuza matiti, kwa nje unaona ni pisi ila ni dume kwa ndani.

Shemale wengine ndio wanaenda mbali zaidi hadi kunyofoa uboo na kuweka K. Hapo anakua CIS woman sio tena shemale.

Huyo mina ni kama bob risky tu, anafirimbika maana hana kyuma so unapita rough road, ila ukiwa legelege anakuchokoza anakukula zam zam.
 
Mina ni shemale.

Shemale anakua ni mwanaume kwa kuzaliwa ila akikua anajibadili muonekano anakua na mwonekano wa kike. Wanakunywa hormones za kike na dawa za kukuza matiti, kwa nje unaona ni pisi ila ni dume kwa ndani.

Shemale wengine ndio wanaenda mbali zaidi hadi kunyofoa uboo na kuweka K.

Huyo mina ni kama bob risky tu, anafirimbika ila ukiwa legelege anakukula zam zam.
Mina ni nani huko Saalam. Weka picha
 
Ai
Mina ni shemale.

Shemale anakua ni mwanaume kwa kuzaliwa ila akikua anajibadili muonekano anakua na mwonekano wa kike. Wanakunywa hormones za kike na dawa za kukuza matiti, kwa nje unaona ni pisi ila ni dume kwa ndani.

Shemale wengine ndio wanaenda mbali zaidi hadi kunyofoa uboo na kuweka K. Hapo anakua CIS woman sio tena shemale.

Huyo mina ni kama bob risky tu, anafirimbika ila ukiwa legelege anakukula zam zam.
Aise umemaliza kila kitu hayo mengi ni mashoga tu shenzii zao, yaan unakuta mtu una opoa demu bonge la pis unaingia ndani lina force uzime taa eti linaona aibu kumbe linataka kukupa mix by yas, ukizima taa unapapasa tu unakuta mtalimbo huo ponapona yako ni kutoka mbio tu kulinda usalama wako wa back.
 
kuna shemales ambao ni wanaume wamejibadilisha kuwa wa kike

halafu kuna hefemale ambao ni ke wanajiweka kiume

kisha kuna wale wanazaliwa na nyeti zote mbili, wale ni intersex. intersex ni kundi kubwa lakini, lina watu tofauti,
mfano kuna hawa guevedoces, ni ke wanaopata nyeti za kiume wafikishapo umri wa 12 kwasababu ya changamoto za hormone
 
Sasa mtu akiwa na jinsia mbili unamuitaje mwanamke?
Eti mwanamke mwenye jinsia mbili. Kwa hiyo akiongeza jinsi ya kike anakuwa na jinsia tatu.

Tumelogwa na Nani hadi tukawa na akili fupi mithili ya umemenwa luku.
 
Kuna wananyama ukitaka fahamu kuwa ni jinsia ya ke au me watakiwa funua mkia uangalieee
 
Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi.

Je jambo hili linawezekana kisayansi?
Ndio wapo
 
Back
Top Bottom