Ni kweli wanawake wenye jinsia mbili wapo?

Thailand ndio sio poa, wamejazana hadi wanahudhuria mashindano ya umiss. Kujichanganya ni kugusa tu huko
 
Reactions: 7ve
Hao wa natural ni very rare issue.

Mfano kuna jamaa aliwahi hojiwa bbc, yeye anazo mbili, ila moja inakuaga suppressed automatically. Yeye ni mwafrika ila kwa nje ni njemba kabisa lkn ana mashine na kyuma, kyuma ipo suppressed ila reproduction system ni ya kiume.

Na hizo ni rare cases, nyingi ni man made kama hawa kina boby risky au yule ex wa mbappe
 
Hao transgender sio wanawake ni wanaume wamejibadilisha kwa homoni
 
Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi.

Je jambo hili linawezekana kisayansi?
Hebu test mitambo ulete mrejesho
 
Kumbe anajiuza?
 
Achana na wenye mbili kuna ambao hawana hata moja ila kwa sura na umbo ni mwanamke tena ana matiti ila hana kituz
 
Hao wanaosemwasemwa wana mbili mara nyingi ni wanawake na si wanaume. Ukichimba sana utaambiwa ya kiume ni dhaifu haifanyi kazi, inayofanya kazi ni ya kike
 
Aiseee🤣🤣🤣🤣
 
Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi.

Je jambo hili linawezekana kisayansi?
Hilo ni jina lake halisi? Kama ndilo huo ni unyanyapaa na unahitaji ushahidi wa hilo usemalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…