DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wakuu
hawa wanaofanya kazi ya kupaka rangi nakuwa osha miguu hasa jinsia ya kiume kunaweza kusababisha mtu akachepuka katika ndoa yake,kuna sehemu nimewoma jamaa anamwosha mdada miguu amemsogelea kabisa yaani "zero distance" sasa kun huyo jamaa ni mpaka rangi hapa mtaani kwangu, yeye anasema wadada huwa ndo wanaanzisha ishara za kutaka mambo na kutoa sauti mguno ni kweli???? eti wadada hasa pale anapo msugua vizuri sehemu ya nyuma ya mguu (kisigino), anasema anataka aachane na hiyo kazi kutokana na kwamba anaweza kula visivyolika.
anaomba ushauri aeendelee na kazi au aache???