Mwanamke asiyeweza kuosha miguu yake mwenyewe hafai kua mke,
Ataweza kuangalia na kuwatunza watoto wake? ataweza kumuhudumia Mumewe? ataweza majukumu ya Nyumbani ikiwa hata kuosha miguu yake mwenyewe hawezi?
Mwanaume rijali na anayejitambua hawezi kukubali mkewe afanyiwe huu upuzi na Mwanaume mwingine,
Huu ni mtazamo wangu.